Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

"Kama hakuna mikutano ya hadhara, RUZUKU kwa vyama vya siasa inaliwa bure".. Habari hii imeindikwa na gazeti la Tanzania Mpya, kurasa ya 10. Je ni kweli au wazo hili linataka kuwapa changamoto...
0 Reactions
2 Replies
806 Views
Wadau kama kichwa kinavyosema hapo juu na naimani nitapata ideas nyingi humu kwa wadau. Nimeajiriwa yapita mwaka sasa baada ya kupita sana JF nikafunguka kuona kwamba ajira ni utumwa hasa ikiwa...
4 Reactions
85 Replies
8K Views
Johnny Was" (Wo-o-o-o! Wo-o-o-o! Wooo!) Woman hold her head and cry, 'Cause her son had been shot down in the street and died From a stray bullet. Woman hold her head and cry; Explaining to her...
0 Reactions
1 Replies
699 Views
Ndugu zangu Watanzania Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini, TMA imetaarifu kuwa usiku wa kuamkia kesho kutakuwa na mvua kubwa zinazozidi Milimita 50 ndani ya masaa 24. Kiwango cha Uhakika ni Juu ya...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Katika jambo ambalo limenishangaza ni hili la Watanzania kushangilia kuachiwa huru kwa wabakaji na walawiti, tena watu ambao walikuwa wanabaka na kulawiti vitoto vidogo, leo hii watu...
27 Reactions
193 Replies
16K Views
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameomba maombi maarufu ya Kikristo ya Baba Yetu yafanyiwe marekebisho. Anataka sehemu ambayo huzungumzia vishawishi ilitafsiriwa vibaya. Asema...
6 Reactions
270 Replies
39K Views
Elisha Gray alikuwa mtu wa kwanza kupata wazo la kusafirisha sauti kwenye waya (teknolojia ya simu) hata hivyo alizembea kuchukua hatua kwenda kusajili,kila siku alikuwa anaghairisha.Baada ya Muda...
2 Reactions
0 Replies
473 Views
Simulizi Hii imesimuliwa Na January Makamba kwenye ukuta wake wa Facebook. Kule kwenye kilele cha mlima ndio kijijini kwetu, panaitwa Mahezangulu, Bumbuli. Kabla ya kuanza safari ya kupanda...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kaimu Mkurugenzi masuala ya wateja wa Mamlaka ya udhibitiwa huduma wa nishati na maji(ZURA) Mussa Ramadhani Haji akizungumza na waandishi wa habari huko ofisini Maisara Zanzibar.(Picha na Kijakazi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakati nikiwafundisha wanafunz wangu wa kidato cha sita ile mada ya, THREATS TO THE WORLD PEACE. Kuna maswali kadhaa niliyaibua wakati nachambua historia ya Waisrael na Waarabu(wapalestina)ambayo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani ninasikitika kuleta hili tukio la ajabu sana humu raia karipoti polisi kutapeliwa/kuibiwa kapewa rb no.mtuhumiwa kakamatwa na kufikishwa polisi akapotea ktk mazingira ya kutatanisha kisha...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Moderator sijaelewa kwanini uzi wangu unaunganishwa kwa habari hazifanani? mnaunganisha na habari ya 2014? why? tuendelee: Kulingana na hali inavyokwenda jamaa hataachia madaraka. Unajua nini...
0 Reactions
2 Replies
830 Views
Fikiria mtu karipoti polisi kuibiwa au kutapeliwa wanamwambia huyo mtuhumiwa wanamfahamu watamuita tu atakuja then zinaanza danadana na kwake wanapafahamu ila hawamkamati wanazungusha tu,sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa habari za majukumu, Naamini kila mtu atakuwa anajua kuwa serikali ya awamu ya NNE ilinunua ndege kwa ajili ya safari za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania almaarufu "Ndege ya Rais"...
0 Reactions
52 Replies
9K Views
Naombeni msaada, fundi aliye nifanyia wiring ya umeme amenambia kahamia singida, leo ni siku ya 2 nimehamia kwenye kibanda changu, nikiwasha umeme wa jikoni bulb ina mwanga mdogo sana ila umeme wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi leseni zetu za kuendeshea gari tunaweza kuzitumia nchi yoyote??
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Wakuu habari, hivi ni kwanini inakuwa rahisi kwa wachezaji mpira kurudi sehemu zao walizoanzia mpira baada ya miaka kadhaa kupita lakini inakuwa ngumu kwa fani nyingine? Utakuta mtu kama rooney...
0 Reactions
6 Replies
997 Views
Wakuu msaada tafadhari. Nakaribia kuoa mtoto mkaree sana. Sasa nahitaji ulinzi binafsi. Kabla sijapata mguu wa kuku ningependa nipate mafunzo jinsi ya kuutumia. Mimi bahati mbaya miaka yetu ule...
1 Reactions
75 Replies
7K Views
Amani iwe kwenu, Kama mnavyojua hivi karibuni kutakuwa na uapishwaji wa mawakili wapya, sasa huko nyuma kabla ya kuapishwa huwa kuna processes zinafuatwa kabla ya kuapishwa, moja wapo wa process...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwanamuziki wa dansi, Nguza Viking ‘Babu Seya na mwanaye Johnson Nguza, maarufu kwa jina la kisanii la Papii Kocha, wamefanyiwa maombi maalumu yaliyodumu kwa takriban saa tano baada ya kutoka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…