Acha uchizzi wewe yaani ukaendeshe gari UK na leseni zetu hizi za kujifunzia barabara zilizojaa mashimo kila mita 5.Hivi leseni zetu za kuendeshea gari tunaweza kuzitumia nchi yoyote??
Popote? Daah kweli wacha tunyooshwe tu a asee.Ina ISO (International Standard Organisation )
Popote Unaitumia
UK kuna kipindi ilikuwa inakubalika kutumia kwa mwaka mmoja huku ukijipanga kwenda Wembly Dvla kuchukua learner kisha theory then practical mambo ya mirror ,Signal ,Maneuver ,sijui three point turn na reverse packingUlaya haiwezi kutumika hiyo.
Niliitumia ya kwangu, Monterey California karibu na San Fransisco. Nikaitumia Detroit, Maryland huko Baltimore, Los Angelos na Washington DC. Kote wanaendeshea kushoto. Unaipeleka kwenye mamlaka ya lesseni wanaihakiki unaitumia. Cha muhimu ufuate taratibu. Wale madreva maalum walioko kwenye balozi zetu zote ambao ni watz wanatumia hizi za hapa home kwa conversion ya sheria za huko.Hivi leseni zetu za kuendeshea gari tunaweza kuzitumia nchi yoyote??
Chato!Imeandikwa Tanzania, sasa ulitaka uitumie nchi gani tena?
Hapana hii ya Tanzania ni humu tu, nilipokuwa nafanya trip ya ukaguzi wa roadblock zinazo husiana na trade bariers kuanzia Dar-Bujumbura-Kigali-Kampala-Nairobi niliambiwa na mfadhili niende AAA wakanipa International Driving Licence kwa sh 170,000 maana tripu hii ilikuwa self driving na siruhusiwi kumpa dereva mwingine kuendesha gari maana ina namba ya tanzania na ikiwa nchi ya kigeni lazima uwe na iyo lesseni. masharti mengine watakueleza maanakwahuenda wamebadili na kuongeza mengine. ial hii ni kwa mwaka mmoja tu.Hivi leseni zetu za kuendeshea gari tunaweza kuzitumia nchi yoyote??
Sheria za usalama barabarani zinafanana dunia nzima,lkn inategemea sheria za nchi husika.Imeandikwa Tanzania, sasa ulitaka uitumie nchi gani tena?
Nimekusoma, asante sanaNiliitumia ya kwangu, Monterey California karibu na San Fransisco. Nikaitumia Detroit, Maryland huko Baltimore, Los Angelos na Washington DC. Kote wanaendeshea kushoto. Unaipeleka kwenye mamlaka ya lesseni wanaihakiki unaitumia. Cha muhimu ufuate taratibu. Wale madreva maalum walioko kwenye balozi zetu zote ambao ni watz wanatumia hizi za hapa home kwa conversion ya sheria za huko.
Nchi zile ambazo sheria zake za magari ni za kukeep left side.Nchi nyingi inatumika hasa kama unataka ya hiyo nchi husika unaenda shule yao kidogo tuu kwa level zilizopo humo ukipass unapewa...SA unaambiwa uwe na traffic register ya kwao ili ukiwa katika mfumo wao ukitambulika tuu unaruhusiwa kutumia ili ukipata fine unatumiwa katika ile register maana ipo katika mtandao wao...