Mtuhumiwa kupotea akiwa chini ya polisi

Mtuhumiwa kupotea akiwa chini ya polisi

nyundo2017

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
1,437
Reaction score
861
Jamani ninasikitika kuleta hili tukio la ajabu sana humu raia karipoti polisi kutapeliwa/kuibiwa kapewa rb no.mtuhumiwa kakamatwa na kufikishwa polisi akapotea ktk mazingira ya kutatanisha kisha mpelelezeli wa kesi hiyo anadai mtuhumiwa alidhaminiwa na polisi mwenzake ambaye ni boss wake na hakurejea tena,je nani awajibike hapo?????
 
Kiongozi nyundo hapo pigilia msumari utakuwa umemaliza shughuli Daaahhh......!
 
Haya mambo yapo sana!! Hasa vituo vya mikoani !! Hata mimi nimewahi kulemaziwa kesi hivyo!! Na kuishia kuambiwa nimtafute tena!! Eti nikimuonà nipereke upya report?!
 
Nenda kwa mkuu wa kituo cha apo!ujinga huu sio awamu hii!
 
Angekuwa juu ya polisi asingepotea
 
Jaribu kuipeleka kwa wanasheria wakushauri cha kufanya.
 
Jamani ninasikitika kuleta hili tukio la ajabu sana humu raia karipoti polisi kutapeliwa/kuibiwa kapewa rb no.mtuhumiwa kakamatwa na kufikishwa polisi akapotea ktk mazingira ya kutatanisha kisha mpelelezeli wa kesi hiyo anadai mtuhumiwa alidhaminiwa na polisi mwenzake ambaye ni boss wake na hakurejea tena,je nani awajibike hapo?????
Aliyemdhamini ndio anawajibika
 
Back
Top Bottom