Kitendawili " yangu macho"

mandokwa

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
620
865
Moderator sijaelewa kwanini uzi wangu unaunganishwa kwa habari hazifanani? mnaunganisha na habari ya 2014? why?

tuendelee:

Kulingana na hali inavyokwenda jamaa hataachia madaraka. Unajua nini jamaa anachokifanya ni kujenga syndicate ambayo kila pale atakapoleta agenda yake anahakikisha mfumo wake unamlea. Kwamfano timu ya juu kabisa ya maamuzi yote kaiteua yeye au mtu ambaye amemuweka yeye. Kwa maana ileile anahakikisha maeneo yote ya maamuzi ndani ya kikundi chake anayashikia yeye na hakika hakuna maamuzi zaidi yake yeye. Na kaamua kushika hata matawi yote bila haya anaweka watu wanaomtii yeye tu kwa maslahi yake yeye.

Haya maneno mtayakumbuka siku moja. Mwisho wa siku ile kamati ya kuchinja majina itaondolewa kabla ya mwaka wa uchaguzi, maamuzi ya nani awe yatatolewa na kikosi maalum na huenda watakuwa wawakilishi wa hizi taasisi mfano wazazi, vijana nakadhalika. Ipo siku kamati zitakaa zitaona hakuna haja ya kufanya mabadiliko na watapeleka muswada if hiyo ni hypotheis sahihi. au njia ya pili kamati itakata kila mmoja na kumbakisha kijana yule. Unajua kwa msioona mbali mnachukulia poa tu. lakini maneno yanamimba ipo siku yakizaa mtanikumbuka. Nimeanza mikakati ya kuwa na makazi nje ya nyumbani kwangu. Nimeoa ubakini ili ikifikia ule wakati nisiwe mmoja wa kunyamazishwa kwakua najua ukwel waja.

Wakuu naota tu lakini ipo siku yaja. Sina hakika naongelea timu ya mpira au naungelea nini lakini litakuwa tukio kubwa la kihistoria katika nyika yetu kutokea.

Nangu mahwelu
 
Hata mimi wameniboa sana mod,juzi na jana,

Kuna modi mmoja halali sio sikukuu au jpili, sijui kanunuliwa na ssm!

Kwenye uzi wako ukiitaja ssm tu huna bahati,anaunyofoa saa hiyohiyo kabla hajausoma au anautafutia uzi mwingine wowote anaupachika.
 
Back
Top Bottom