enery
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 368
- 439
Kuna audio moja niliwahi isikiliza ikimwelezea profesa aliyeingia darasana na kuwakuta wanafunzi wake kisha akawambia leo ni siku ya mtihani hivyo wajiandae. Akawapa kila mmoja karatasi nyeupe isiyoandikwa kitu ila ilikuwa na doti nyeusi katikati. Akawambia kila mmoja aandike anachokiona katika karatasi aliyopata. Wanafunzi wote waliandika ile doti nyeusi waliyoona na kusahau upande mwingine wa karatasi kuwa ni nyeupe na haina chochte. Ilikuwa na maana sana sijui nitawezaje ipata
Pia kwa wale wasikilizaje wa TBC Taifa kila baada ya taarifa ya habari huwa kuna tafakuru baada ya habari nawezaje pata zile audio?
Pia kwa wale wasikilizaje wa TBC Taifa kila baada ya taarifa ya habari huwa kuna tafakuru baada ya habari nawezaje pata zile audio?