Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ni Jipu

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ni Jipu

cheeter

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
475
Reaction score
155
Kwanini tunaendelea kufanya kazi kwa kubembelezana?Serikali hii ya awamu ya tano haina muda wa kubembeleza watu lakini nashindwa kuelewa namna watu wanafanya kazi katika halmashauri hii ya Ubungo.Yani kila mtu namwona amekaa kidilidili.Na wiki takribani tatu sijaweza mwona Mkurugenzi wala Mwekahazina.Ila kila nikiuliza hawa watu wako wapi sipewi majibu ya kuridhisha.Dalili ya watu kutokaa ofisini ni kiashiria kibaya.Najiuliza ni muda gani hawa watu wanapata kutekeleza majukumu ya😵fisi muda wote zimefungwa.
 
Back
Top Bottom