Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,928
- 2,320
habar zenu
hiv kwanini mabenk mengi ukienda unakuta madirisha ya huduma(tellers) yapo 8 au mengi lakin madirisha mawili tu ndo yana wahudumu
ina maana hizi benk hazna wafanyakazi wa kutosha mpaka wasababishe foleni zisizo na maana? au shida ni nini?