101 East
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,057
- 2,257
Wako wanaonza maisha kwa kufyeka pori, wako wanaoanzia kwenye shamba lililotayarishwa, na wako wanaoanzia kwa kuvuna mazao yaliyokwishapandwa na wazazi. Wengine wao ndio baba wa mafanikio, wengine ni watoto wa mafanikio na wengine wajukuu wa mafanikio. Mchezo mmoja, ligi tofauti!