Hi great thinkers katika maisha tunakumbana na mambo mengi ikiwamo ya kuhuzunisha na kubakisha kumbukumbu isiyofutika.
Binafsi sitasahau mwaka 1995 nilipopata ajali nikiwa na mama yangu mzazi na...
Miaka ya nyuma shule za st.mery zilizoko tabata,mbagala,mbezi za mama rwakatare
Zilikuwa zikisifika kwa elimu bora na wanafunzi kuongea kingereeza lakini siku hizi hazisikiki kama ilivyokuwa...
Habari za majukumu hapa jukwaani.
Moja kwa moja kwenye mada.wanaJF,wandungu, ktk maisha watu hawalingani na msaada ni jambo la kawaida sana. Hata mwenye uwezo anaweza kuhitaji msaada wa maskini...
Naandika kutoka kimara kibo na maeneo ya jirani jamani maji hayatoki wiki ya pili hapa na maeneo ya jirani vyoo vinanuka maradhi ya mlipuko yanatunyemelea jamani tuokooeni
Aliyekuwa askari wa Jeshi la Polisi, PC George Bisongoza (30), aliyefukuzwa kazi mwaka 2013, amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kusafirisha magunia 18 ya bangi yenye thamani ya Sh55.7...
Plot ambapo nyumba ya ibada ya Pool of Siloam imejengwa ni kiwanja ambacho Munuo ambaye anajiita Nabii Eliya alimdhulumu Mzee Kimambo ambaye alikuwa amejenga nyumba yake hapo. Munuo yalitumia...
Habari za hapa!!
Nimejaribu kuangalia , kwa wale wahudhuriaji wa kanisani kuna jamaa aisee hawakosi kanisani, duh mvua, jua, alale saa nane siku jumamosi, jumapili ataamkia kanisani asubuhi...
Habari wanajf.
Nitasafiri na familia kwenda Mwanza, nimepanga kulala Nzega na familia kabla sijaendelea kesho yake Mwanza. Najua JF members wametapakaa nchi nzima na hata nje ya nchi. Naomba...
wakuu.
jah Bless.
kua rastafarian ni imani tu iliyo ndani ya moyo na kile unachowaza japo kuna miiko kwenye imani yetu,
Imani hii haina ubaguzi kabisa ni imani ya kuamini katika usawa na kuheshimu...
Habar waja Jf? hope kila mtu ni mzima wa afya
Nimeona tatizo katika jamii zetu hasa sisi vijana katika utafutaji wa pesa tumekuwa watu wa MIHEMKO a.k.a tumekua kama bendera tunafata upepo...
Umoja wa Mataifa (UN) umesema utatoa ushirikiano wa kutosha ili kufanikisha uchunguzi kuhusu tukio la kuuawa Wanajeshi 14 wa JWTZ waliokuwa wakilinda amani huko DR Congo.
Aidha, UN imesema...
Dawa za LIFE SELI zinatengenezwa Kinondoni kwa Manyanya. Nimejaribu dawa zake. Kuku wangu kila nikiwapa wanapata matege na kupofuka macho. Najiuliza hivi wizara ya mifugo iko wapi! Hawa waganga wa...
Habari zenu wakuu,naomba kufahamishwa ni vipi naweza kuhama kutoka wizara moja kwenda wizara nyingine kwa kada ya TEHAMA.
Pia ninapoandika barua ya kuomba nafasi wizara au taasisi husika kichwa...
Platinum ni bar ya kawaida sana haifikii hata rosegarden, royal village,capetown, rainbow nk ambako huko kote bei ya soda ni 1000, lkn wao soda ni sh 1500, kwa kweli hata kama vyuma vimekaza hio...
Ni jambo lililozoeleka kwa watoto wadogo kupenda kuvua nguo zote wanapoenda kupuu. Kuna wengine hukua na tabia hio mpaka shuleni na hatimaye ukubwani. Hawa siwezi kuwanenea kwakuwa ni tabia tayari...
Wandugu hamjambo.
Naombeni msaada wa kimawazo,
Mim ni civil servant, Nina mkopo abc banc,
Toka mwaka 2015,
Jumla ya makato kwa miezi 72 ni si chini ya 14,876,000
Mwezi FEB deni lilikuwa...
Madaktari watakaoguswa na panga pangua hiyo ni pamoja na bingwa wa kinamama, watoto, upasuaji, mionzi, dawa za usingizi na mifupa.
Dar es Salaam. Wakati asilimia 60 ya madaktari bingwa...