Dawasco kuna mgao wa maji Dar? Hatuna maji wiki ya pili

Dawasco kuna mgao wa maji Dar? Hatuna maji wiki ya pili

kimpango

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
600
Reaction score
717
Naandika kutoka kimara kibo na maeneo ya jirani jamani maji hayatoki wiki ya pili hapa na maeneo ya jirani vyoo vinanuka maradhi ya mlipuko yanatunyemelea jamani tuokooeni
 
Itakua hapo ulipo huku kwetu yanatoka,tena uko karibu na eneo lao wanalovunja
 
Back
Top Bottom