Platinum ni bar ya kawaida sana haifikii hata rosegarden, royal village,capetown, rainbow nk ambako huko kote bei ya soda ni 1000, lkn wao soda ni sh 1500, kwa kweli hata kama vyuma vimekaza hio sio solution ya kuviregeza,naomba vyombo husika vifatilie hizi bar ambazo hazina ubora wa kimataifa lkn kujiwekea bei watakavyo,leo mmenisababishia usumbufu mkubwa nilikua na buku 2, nikijua soda buku ninywe huku na nacheki game ya man city na Tot,na buku inayobaki nilipie boda sasa imebidi niache kucheki game niwahi kuondoka kabla ya game kuisha ili nisikabwe na vibaka sababu inabidi nitembee kwa miguu