Tazama tiba mbadala kwenye kuku

Tazama tiba mbadala kwenye kuku

Hewa mkaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
748
Reaction score
386
fc1ef14223a3ec432007c4eb384cbfdb.jpg

Dawa za LIFE SELI zinatengenezwa Kinondoni kwa Manyanya. Nimejaribu dawa zake. Kuku wangu kila nikiwapa wanapata matege na kupofuka macho. Najiuliza hivi wizara ya mifugo iko wapi! Hawa waganga wa jadi sasa wamehamia kwenye mifugo. Serikali tusaidie kama hizi dawa za asili kwenye kuku mmeruhusu. Mbona zinatutia hasara?
 
Duh kuku wako mwenyewe umeenda kuwapigisha manyanga Na kuwachanja chale Na mihirizi. Haya vuna ulichokipanda sasa
 
hahahha nimecheka sana et kuku wanapata matege
 
Ubaya wa dawa za kienyeji ni kwamba hakuna mtu aliye kaa akafanya utafiti na kujua jinsi zinavyo fanya kazi (au kama zinafanya kazi) pia madhara yake wakati wa matumizi. So ukiamua kutumia, tumia at your own risk
 
Back
Top Bottom