Msaada: hoteli/ lodge nzuri ya kufikia na familia Nzega.

Yaleyale

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
1,789
2,383
Habari wanajf.
Nitasafiri na familia kwenda Mwanza, nimepanga kulala Nzega na familia kabla sijaendelea kesho yake Mwanza. Najua JF members wametapakaa nchi nzima na hata nje ya nchi. Naomba kujuzwa hoteli / lodge nzuri ninayoweka kulala la familia hap Nzega. Usalama, usafi na utulivu ni mambo ya kuzingatia.
Aksanteni.
 
Mkuu mi huwa napita sana nzega ila sijawahi kulala.Zipo lodge nzuri tuu nyingi utapata nadhani bei 15-20000Tsh.Zipo lodge nzuri.
 
Akifika tu nzega kamata wa bodaboda au taxi dreva wanajua guest hotel na lodge zote Kali ni mfuko wako tu.
Aksante mkuu. Nilidhani ningepata msaada ili hata ninapomwambia taxi driver au bodaboda niwe na clue na nitakapolala ni sehemu ya namna gani kutokana na michango ya wanajf.
 
Niliwahi kupata ushauri mzuri kuna muda nilisafiri na familia kwenda Singida. Wanajf walinipa abc za hoteli za huko.
 
Back
Top Bottom