Hivi shule za St. Mery ziliishiaga wapi?

toto zuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
265
Reaction score
283
Miaka ya nyuma shule za st.mery zilizoko tabata,mbagala,mbezi za mama rwakatare
Zilikuwa zikisifika kwa elimu bora na wanafunzi kuongea kingereeza lakini siku hizi hazisikiki kama ilivyokuwa zamani tatizo ilikuwa ni nini.
Hivi hizi shule bado zipoo mbona kimya sana
 
Utitiri wa international schools umezifunika
 
Miaka ya nyuma shule za st.mery zilizoko tabata,mbagala,mbezi za mama rwakatare
Zilikuwa zikisifika kwa elimu bora na wanafunzi kuongea kingereeza lakini siku hizi hazisikiki kama ilivyokuwa zamani tatizo ilikuwa ni nini.
Hivi hizi shule bado zipoo mbona kimya sana
Hakuna shule zenye jina hilo la st,mery
 
Miaka ya nyuma shule za st.mery zilizoko tabata,mbagala,mbezi za mama rwakatare
Zilikuwa zikisifika kwa elimu bora na wanafunzi kuongea kingereeza lakini siku hizi hazisikiki kama ilivyokuwa zamani tatizo ilikuwa ni nini.
Hivi hizi shule bado zipoo mbona kimya sana
Hatukuwahi kuwa na shule zinaitwa ST.MERY
 
Miaka ya nyuma shule za st.mery zilizoko tabata,mbagala,mbezi za mama rwakatare
Zilikuwa zikisifika kwa elimu bora na wanafunzi kuongea kingereeza lakini siku hizi hazisikiki kama ilivyokuwa zamani tatizo ilikuwa ni nini.
Hivi hizi shule bado zipoo mbona kimya sana
Shule zipo,
Tatizo labda wengi sasa wamewekeza zaidi kwenye elimu kuliko hao St. Mary's
 
Sikuhizi kila Taasisi ya kidini inamiliki shule za FM Academia
 
Miaka ya nyuma shule za st.mery zilizoko tabata,mbagala,mbezi za mama rwakatare
Zilikuwa zikisifika kwa elimu bora na wanafunzi kuongea kingereeza lakini siku hizi hazisikiki kama ilivyokuwa zamani tatizo ilikuwa ni nini.
Hivi hizi shule bado zipoo mbona kimya sana
Ndo shule gani hizo
 
Ukiambiwa vyuma vimekaza huwa unaelewa nini?
 
Back
Top Bottom