Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakazi wa mitaa ya Madale, Nakasangwe na Mbopo manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam wameendelea kukosa mawasiliano ya barabara kwa zaidi ya wiki mbili sasa kufuatia daraja kiunganisho kukatika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Vijana wameshauriwa kuacha kutumia vibaya mitandao ya kijamii badala yake itumike kuweza kuwasaidia kujikwamua katika maendeleo, hayo ameyasema mwanamitindo Jokate Mwegelo leo asubuhi kupita East...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Hivi Karibu kumeibuka Uharifu wakutisha unaoendeshwa na Vijana wenye umri Kati 18+ 20_23.Uharifu huu unafanywa ktk Maeneo ya Mwanza. Makazi ya Vijana hao au uwenyeji wao,Baadhi ni Mwanza mjini na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wananchi wa JF ni mda mwafaka sasa kuzitaja taasisi zisizo na tija kwetu badala yake ni kuongeza mzigo kwa walipa kodi tu na kutengeneza mfereji wa ulaji Taasisi uwepo wake unaweza kuwa muhimu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hizi nyumba za Mchechu za rank mbalimbali naona ni Bomu linalosubiri kulipuka kwani ukiangalia maeneo (nyingi) zinakojengwa na gharama zake kuwa ghali sana hapo hujaweka riba ya mamilioni ya...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
JESHI LA POLISI MKOA WA SHINYANGA WALINIBANIA NAFASI YA KUWA POLISI INTERVIEW YA MKOA(MASWA) MWAKA 2006. Mwaka 2006 mwezi wa sita nilirejea Kahama nikitokea Dar es salaam ili niweze kujiunga na...
8 Reactions
58 Replies
6K Views
Wakuu Hapo nyuma sikuwahi kulisikia wala kulisoma popote pale azimio la kagera, zaidi nilizoea kukutana na maazimio mbalimbali kama azimio la Arusha, azimio la Iringa na azimio la Tabora. Hivi...
1 Reactions
9 Replies
7K Views
Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali imeezua na kubomoa nyumba 71 na kusababisha zaidi wa watu 150 kukosa hifadhi katika vijiji 4 vya kata ya Ivuna mkoani Songwe,na kutokana na maafa hayo mazao...
0 Reactions
3 Replies
917 Views
Wadau Mwaka 2013 Serikali ya Gambia ilipitisha Sheria ya kuwa na siku (3) tatu za mapumziko kwa ajili ya Wafanyakazi wote wa Umma nchini humo. Mapumziko hayo ni kwa siku za Ijumaa, Jumamosi na...
1 Reactions
5 Replies
981 Views
TLS ina wanachama wenye hela ya kufa mtu kuanzia akina Mkono, Immmmmma, sijui rex attorneys wote hawa ni Mabilionea tena ndiyo waliompa Tundu Lisu Uongozi wa tls kwa kumpigia Kampeni ya kufa mtu...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Uko na msichana wa kazi ndani,baadae unahisi ana mimba baada ya kumpima ikaonekana kweli ana mimba,ktk kumuhoji mimba ya nani kasema ya shemeji,jioni ilipofika mke anamuuliza mumewe kwanini...
0 Reactions
0 Replies
550 Views
Hey pipoz, mwaka ndo unasepa huu, Je unakuachaje kiuchumi, social nk. Kwa upande wangu Kiuchumi hapo mwanzoni nilipata shida sana, niliajiriwa na mjomba wangu ambae ana mapesa mengi sana. Lkn...
0 Reactions
4 Replies
519 Views
Nimewapigia voda sijapata msaada mzuri mhudumu hajanisaidia. Nina samsung galaxy j5 nimefanya setting za apn kama Wap na jina kama vodacom wap. Nimejiunga bando 1gb la wiki....tatizo sipati...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
je nikiwa na kifurushi cha bomba cha dstv naweza kuona ss3 nikiongezea 3000...kwenye kifurushi hicho
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Msemaji wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Sheikh Khamis Mataka ameeleza kuwa ni kweli baraza hilo linakabiliwa na hali ngumu kifedha kiasi cha kushindwa kulipa mishahara ya wafanyakazi...
3 Reactions
61 Replies
6K Views
Habari zenu wapendwa, Takriban miezi minne sasa nimekua nikisikia matangazo tofauti tofauti yaliyoandaliwa kwaajili ya kuelimisha jamii kwamba SI KILA HOMA NI MALERIA...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina uhakika nguvu na Rasilimali tunazowekeza kwenye kuhudumia Wanyama wa porini, kama tungeiwekeza kwetu, maisha yetu yangekuwa bora zaidi kuliko yalivyo sasa hivi! Ukianzia kuwalinda, kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi?Ni zaidi ya mara moja nimekuwa nikinunua umeme kupitia M-Pesa na Tigo Pesa kisha sipokei ujumbe wenye Token na kunionesha kuwa nimenunua umeme.Baada ya kupiga simu huduma...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kila jambo lina faida na hasara zake. Pamoja na kuwa na kero nyingi sana kwa kutumia usafiri wa Daladala kwa mihangaiko ya kawaida pia kuna raha yake ya kutumia usafiri huu ukilinganisha na...
5 Reactions
113 Replies
16K Views
Hi great thinkers katika maisha tunakumbana na mambo mengi ikiwamo ya kuhuzunisha na kubakisha kumbukumbu isiyofutika. Binafsi sitasahau mwaka 1995 nilipopata ajali nikiwa na mama yangu mzazi na...
1 Reactions
4 Replies
975 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…