Azimio la Kagera

Azimio la Kagera

Chifyono

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
921
Reaction score
1,663
Wakuu

Hapo nyuma sikuwahi kulisikia wala kulisoma popote pale azimio la kagera, zaidi nilizoea kukutana na maazimio mbalimbali kama azimio la Arusha, azimio la Iringa na azimio la Tabora.

Hivi karibuni nimepata kulisikia azimio la kagera ambalo siku ya kilele chake ni leo likifanyika huko kagera na watu mbalimbali wamehudhuria, azimio hili nimelielewa kiufupi kwamba linahusiana na maonesho ya kilimo, ujumbe wake ni mzuri na unawalenga waswahili kwa hali halisi ilivyo sasa

Hii imenisukuma kutaka kulielewa hili azimio kiundani zaidi,
Azimio la kagera lilianzishwa lini, ni nani mwanzilishi wa azimio hili

Kwanini hapo nyuma alikuwahi kuazimishwa au maazimisho yalikuwepo mie tu sikuyasikia?

Mwaka huu yameshikiliwa sana na clouds media huku ikiwa ni suala la kitaifa na niwape pongezi bila wao ata mie nisingelijua, je nafasi ya serikali na vyombo vyake vya habari vinanafasi gani kuhusiana na azimio la kagera?

Au Ni uhaya na ukagera wa Ruge ameona kagera haina azimio kama ilivyo mikoa niliyotaja hapo na yeye kaamua kuutangaza mkoa wake kwa namna hii?

[HASHTAG]#AzimioLakagera[/HASHTAG]
 
Kwa nini makabila mengine mnakuwa so inferior?? Yaani jambo zuri likimgusa mhaya hamuwezi kulifikiria kikawaida mpaka mulihusishe na uhaya??
 
Maswali ya msingi huyaoni?

Nimeuliza hivyo kwanini isiwe azimio la Mbeya na wanyakyusa?
 
Azimio la kihantobwe lisilokuwa na reality yoyote yani maazimio yote yamefeli uje na kiazimio cha kagera mi naaamini its a mrerely piece of paper
 
Maswali ya msingi huyaoni?

Nimeuliza hivyo kwanini isiwe azimio la Mbeya na wanyakyusa?
Hata yangekuwa ya Mbeya, au Kigoma isingesaidia. Kwa nini hukuuliza kwa nini azimio la Arusha au la Tabora liitwa hivyo??

Na kama haitoshi kwa nini uihusishe ba uhaya wa Ruge?? Hakukuwa na sababu zingine za kufanya kujua sababu ya kuwa la Kagera mpaka hiyo tu ya ukabila na uhaya wa Ruge??? Stop being inferior, jiaminini na makabila yenu! Mnajishusha wenyewe alafu mnawasingizia wahaya wanajisifu.
 
Kwa nini makabila mengine mnakuwa so inferior?? Yaani jambo zuri likimgusa mhaya hamuwezi kulifikiria kikawaida mpaka mulihusishe na uhaya??
Hii ndo shida ya wengi kitu kisifanyike kagera wanaogopa giant likiamuka litawapiga mbaya mbovu maana wahaya sio wa kawaida hata nyerere aliwaogopa na kusema kwamba watampindua
 
Wazee wa furusa hawa, wameshaandika maproposo kwa wazungu huku wamevuta mkwanja wanaenda kupiga soga kama wanazopiga kwenye fursa/fihesita, ikipita wanatulia hadi fihesita nyangine wanaleta mahubili yaleyale tena huku impact ya wanayoyahubiri ni 0.01%...... Kila mbuzi atakula kulingana na urefu wa kamba yake
 
Hata yangekuwa ya Mbeya, au Kigoma isingesaidia. Kwa nini hukuuliza kwa nini azimio la Arusha au la Tabora liitwa hivyo??

Na kama haitoshi kwa nini uihusishe ba uhaya wa Ruge?? Hakukuwa na sababu zingine za kufanya kujua sababu ya kuwa la Kagera mpaka hiyo tu ya ukabila na uhaya wa Ruge??? Stop being inferior, jiaminini na makabila yenu! Mnajishusha wenyewe alafu mnawasingizia wahaya wanajisifu.
Sawa umeeleweka ila nisaidie na hili

Azimio la kagera lilianzishwa lini na muhasisi wake ni nani
 
Back
Top Bottom