Itapendeza900
Member
- Nov 30, 2017
- 45
- 31
Uko na msichana wa kazi ndani,baadae unahisi ana mimba baada ya kumpima ikaonekana kweli ana mimba,ktk kumuhoji mimba ya nani kasema ya shemeji,jioni ilipofika mke anamuuliza mumewe kwanini amemdhalilisha kutembea na house girl wao na kumpa mimba, bidada kaambulia makofi na kutishiwa maisha.