General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,186
Hey pipoz, mwaka ndo unasepa huu,
Je unakuachaje kiuchumi, social nk.
Kwa upande wangu Kiuchumi hapo mwanzoni nilipata shida sana, niliajiriwa na mjomba wangu ambae ana mapesa mengi sana.
Lkn mjomba akaanza dharau, kwakua yeye hakusoma ni Std 7 basi ndo ikawa dharau nyingi.
Ilikuwa ni afisa masoko, sasa biashara aliyoianzisha ni mpya, so akasema nimsaidie. Ndo nimemaliza chuo mwaka jana tu.
Sasa kila nikimshauri tufanye hivi anazingua, mwisho akanichana na kuniambia "Nyie watu wenye digrii mnajifanya mnajua sana, mbona ushauri wako unaonipa huutumii uwe na pesa kama mimi?
Aisee nikapaniki mbaya, kesho nikaandika barua ya kuacha kazi. Wakati nipo kwake Nilitengeneza kama 2M. Nikamfata mzee mdogo nikamweleza Idea yangu akanikopesha 3M, so nikawa na 5M.
Mzee mzima nikawa nachukua bidhaa zangu kenya naleta bongo. Nikatengeneza mpunga mrefu. Pamoja na changamoto za TRA lkn nikajikaza kiume na mambo yanaenda sawa sasa.
Katika social, aisee mapenzi yamezingua, kosa kubwa nililokifanya ni kudate na demu masikini, hajui kutafuta yeye ni kutumia tu.
Nimempiga chini, sasa natafuta mwenye nazo au hata kama hana awe anajua kuzisaka.
Mwaka unaisha poa.