Je huu ni ukwepaji kodi wa Mitandao ya simu?

Je huu ni ukwepaji kodi wa Mitandao ya simu?

banned do

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
574
Reaction score
507
Habari zenu wana jamvi?Ni zaidi ya mara moja nimekuwa nikinunua umeme kupitia M-Pesa na Tigo Pesa kisha sipokei ujumbe wenye Token na kunionesha kuwa nimenunua umeme.Baada ya kupiga simu huduma kwa wateja watoa huduma hutaja namba za token kisha kutaka nizinukuu kisha kuingiza kwenye mita ya Luku.Nilijaribu kufuatilia nikagundua si mimi peke yangu tu bali kuna jirani zangu pia.Je katika hili kuna makato yoyote ya kodi yanayokatwa na TRA?Na je huu si mtindo mpya wa ukwepaji kodi?Wenye uelewa katika jambo hili tusaidiane.
 
Mkuu hebu nenda kwenye uzi wa Tanesco waulize hii kitu maana wao ndo wenye mkataba na hizo kampuni za simu nikimaanisha kuwa ni mawakala wa tanesco kwenye kutoa hiyo Huduma!
Wako humu na wamekuona.
Au kama vipi tinga kwa vodacom na airtel nao wako humu pia
 
Hapo umempa njia mbadara.
 
Back
Top Bottom