Watanzania,wazazi,viongozi tuupige vita uharifu kwa pamoja bila kujali madhila yatakayotupata

Alphonce Kagezi

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
327
157
Hivi Karibu kumeibuka Uharifu wakutisha unaoendeshwa na Vijana wenye umri Kati 18+ 20_23.Uharifu huu unafanywa ktk Maeneo ya Mwanza.

Makazi ya Vijana hao au uwenyeji wao,Baadhi ni Mwanza mjini na wengine ni wa Igombe B,A Kigote,Tx na Kayenze ndogo.

Nilibahatika kunasa Mtandao wa wanaotoka Igombe B Matukio wanayofanya unadhani wa Simu ,utendaji na ubakaji.

Niliweza kukutana na baadhi yao ktk harakati za kuwasaidia na kuwashauri waache vitendo hivi vya hatari ,Walianza Chuki. Na vitisho dhidi yangu,harakati zangu nilishirikisha Kiongozi mwenzangu ambaye kwa pamoja tuliazimia kuwasaidia vijana hawa ilipelekea baadhi kukimbia na wengine walijikuta wakiusema ukweli mbele ya wazazi wao kwa kiongozi wa Mtaa kwa maneno yao walithibitisha kuhusika na uharifu huo.

Bahati mbaya sasa nimechukiwa na Kiongozi mmoja ambaye mwanae ni mmoja wa kundi hili hatari kwa Maeneo yetu na Jamii nzima ,Kinachoninyima usingizi ni kesho ya vijana hao utakuwaje?

Mzazi huyu anamkingia kifua mwanae huku akijua mwanae ni mmoja wa rika harifu hatari Zaidi Mtoto huyo amefaulu kuingia Form one Sekondari je itakuwaje mbele ya safari?

Mzazi huyu anaitwa Abel Grevaz na mwanae anaitwa Frenk Abel Jamani huyo Mzazi ni Kiongozi wa maafa eneo moja la Mtaa Igombe,pia anakiu ya kuongoza Mtaa Kama Mwenyekiti hivi Jamani akipata madraka itakuwaje kama tabia ya kukemea Uharifu hasa kwa wanae hana je atakuwa Kiongozi anaefaa wapi.

Nimeamua kuweka wazi ukweli ili asaidiwe pia maisha yangu anayatishia kupita kiasi likitokea la kutokea kwangu ama Familia yangu yeye ni mtuhumiwa namba moja na mwanae na wenzake.

Naomba ushauri kwani siwezi kustahimili au kuwa kimya hali Jamii inasumbuliwa
 
Dah, kwa mwandiko huu lazima hao wasukuma wenzio wakuzingue.

Anyway hivi Balimi ndogo zishatoka?
 
POLENI. Andika kwa kuweka paragraph ili tukupate vizuri zaidi. Mungu awasaidie warudi kwenye mstari na kuishi maisha ya kawaida.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom