Ujumbe wa wazi kwa Wakristo wote kuelekea Jumatano ya Majivu 14/02/2018

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,551
1,777
Bwana asifiwe? Najua itakuwa Jtano ngumu sana kwa wengi wetu, lakini kwa nguvu zake yeye atuwezeshaye( Mungu) basi Shetani anakwenda kushindwa.Ukiwa kama Mkristo huna budi kupitia ujumbe huu na kuusambaza kadri uwezavyo.
Bwana awatie nguvu kwenye kipindi hiki cha Kwaresma.

 
Back
Top Bottom