luqman luqman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2014
- 850
- 1,405
Habhari zenyu wakuu!
Ni siku ya jana majira kama ya saa 5 usiku kuna jamaa angu katoka kwenye hizo hostel akiwa anaelekea uelekeo wa mlimani city kupitia njia ya watembea kwa miguu iliyo pembeni ya barabara ndipo walipotokea watu takribani nane wakiwa na mapanga wakiwa wanamfata nyuma.
Bahati nzuri jamaa ni sport man na alfanikiwa kukimbia mbio bila kukamatwa.
Tahadhari ichukuliwe kwa wanaoishi maeneo hayo na maeneo ya karibu.
Wassaalam.