Dr Guitar tz
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 312
- 247
Pale Muhimbili kuwepo taasisi ya Kushughulikia tatizo hili
Jana ndani ya Daladala zimepigwavkelele nyingi lilipofungwa goli la Nne,nikajiuliza hawa watu wanaoshangilia ni ushabiki?Mapenzi su ni kitu gani?
Hivi wanaijua Soka?Wanaelewa lolote juu ya Kiwango?
Hats mtangazaji aliyekuwepo hewani alionyesha mapenzi ya wazi wazi kwa simba,kweli hatukatai Sie wa tz kua wazalendo.Lkn Luna juhudi kubwa inatakiwa ifanywe Na klabu hizi kongwe.
Yanga,Simba wote wameshinda hizi mechi za kimataifa,Lakini ni hizi hizi timu zimetolewa kamasi Na kitimu kidogo cha Ihefu hapa majuzi tu,timu ya Kijijini!mpaka ikafikia wengine wakatimua kocha!
Leo hii tunategemea watatubeba kama taifa kutuwakilisha kimataifa?
Sie waangaliaji wa ligi za nje huwa tunaumia kuona lini nasi tutafikia huko walipo wenzetu,
Lakini kikubwa kundi kubwa la watu kukimbilia tu kushangilia ushabiki, kuliko kuzipima uwezo timu hizi,hili linatia shaka kua huenda ni ugonjwa ambao unataka juhudi za haraka kuutibu ili watu wazinduke!