Mradi wa Arusha kujenga Helicopter umeishia wapi?

Mradi wa Arusha kujenga Helicopter umeishia wapi?

Ngwango

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
356
Reaction score
275
Ndungu wanaforum,
Asalaam aleikhoum, Bwana asifiwe.
Napenda kuwakumbusha wale tu wamekuwa wafuatiliaji wa policies mbali mbali za kisiasa, kiuchumi, kijamii na za kimendeleo nchini na nje ya nchi au dunia nzima kwa ujumla.

Mwaka 2016 june katika kuitikia kauli mbiu ya kitaifa Tanzania Viwanda iliyoanzishwa na Rais wetu Mhe. John Joseph Pombe, Eng. Abdi mjema na wenzie walianza mradi wa kujenga Helicopter Kule Arusha technical na kuahidi ukamilifu wake mapema 2018.

Hii ilikuwa fahari kubwa kwa nchi yetu, kwamba mradi huu ungeikwamua nchi kiuchumi na kutengeneza ajira hasa watanzania wengi walio nje katika fani hii, cha kushangaza in kwamba, jitihada hizo hazisikiki tena!
Hebu tupeane taarifa kwa alienazo
 
Hivi na wewe ni mgeni nchi hii nin? Ile ilikuwa siasa za kulaza watoto na kujipatia kura. We nenda kasake ugali wa watt wako
 
Hivi na wewe ni mgeni nchi hii nin? Ile ilikuwa siasa za kulaza watoto na kujipatia kura. We nenda kasake ugali wa watt wako
Hahahahajahaha! Kweli? Lakini mkuu kura gani tens na uchguzi mkuu ulikuwa umepita?
 
Mpaka sasa Tanzania haijaweza kutengeneza baiskeli, halafu kunawatu wanawaza helkopta!! Na wanatoa ahadi.??
 
Mpaka sasa Tanzania haijaweza kutengeneza baiskeli, halafu kunawatu wanawaza helkopta!! Na wanatoa ahadi.??
Haya wakuu nimewasikia, kumbe nchi hii unaweza kuzusha cha kuzusha tu ukaita waandishi wa habari
 
Back
Top Bottom