Niliyoyaona kwenye sehemu zenye migodi

Niliyoyaona kwenye sehemu zenye migodi

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
8,888
Reaction score
13,644
Habar za leo ndugu zangu wanajukwaa,

Lililonileta leo kwenye jukwaa;nahtaji kuwashirikisha Maisha au vitu vinavyotendeka kwenye sehemu zenye migodi/machimbo na hii ni Kwa wale waliowahi kufka au kufanya kazi migidini na hata wale ambao hawajah kufika migodini

Sehemu nyingi zenye migodi (maeneo niliyowah kuyatembelea yakuwa kama references japo sitayataja kwenye bandko hili) kuna mambo haya yafuatayo;
1.Wazawa wanamaisha duni kuliko maelezo
2.Maeneo haya ya migodini yana-poor housing,the issue of health and hygiene is not a priority to the natives
3.Watu waliowengi migodini au kuzunguka maeneo ya migodini siyo wastaarabu,wachafu na ni watu walevi wa kupindukia
4.Hali ya usalama ni ndogo sana!
Pia,maeneo mengi ya migodini kuna akna Dada wanaotoka mbali wanajiuza
Hyo ndyo hali ya Maisha kwenye maeneo mengi yenye migodi,
Naomba kuwasilisha!
 
Umesahau Mambo ya Ndagu na kutoana Kafara !!!
 
Haya tumekusikia, tuache na kazi zetu..
Ndo zatuweka mjini hapa mkuu.
Ni ngumu sana wawekezaji kusimamia maswala ya mazingira, ni gharama sana.
 
Kuna msemo wa kiingereza unaitwa gold digger Yani my wa aina iyo Ni desperate kichizi
 
Kuna matukio ya kutisha sasa hivi yanaripotiwa mahali,lkn yanahusishwa na masuala ya migodi!
Kuna machimbo yapo wilaya ya CHUNYA yanaitwa ITUMBI dah mzee wakiingia watu 12 mgodini wanarudi 8 yaani full vifo mpaka baadhi ya watu wanaogopa kuingia mashimoni mpaka mwezi wa 4
 
Back
Top Bottom