Halmashauri mpya ya Chalinze imeoza mamlaka husika ichunguzwe

Kifuu

Senior Member
Joined
Jan 29, 2017
Posts
150
Reaction score
91
Hii halmashauri inaonekana ni mpya sana wanadai inamiaka miwili (2) ila mambo inayoyafanya niabu tupu, nilifika pale kuhitaji huduma kuanzia getini kwa mlinzi mpaka wote wanaishi kama miungu watu.

Nimefika pale saa mbili asubuhi mlinzi ananiambia watoa huduma wameenda kunywa chai, nimekaa mpaka saa nne hawajarudi wamerudi saa sita, naomba kumuona Mkurugenzi naambiwa anasiku zake za kumuona maana siwezi kumuona mtu mkubwa hivyo kirahisi.

Nikajiuliza hivi kazi yake nini kama hawezi kuonana na wananchi wakati naomba kumuona Mkuu wa Idara mwingine naambiwa kwani hujui ni mda wa lunch au subiri saa nane, nimesubiri saa nane wanarudi saa tisa nakupanda magari, nikiuliza majibu hujui muda wa kazi, sasa najiuliza hivi wananchi wanahudumiwajwe maana nimefika hapo nakutana na hali hiyo mara kadhaa.

Viongozi futilieni ile halmashauri maana bado changa.
 
Uwajibikaji hauna cha uchanga, ujana wala uzee, lakini pia nina wasiwasi na kiasi cha chumvi kilichoungwa kwenye hii taarifa, kama kweli hali ni hiyo nashauri ungevamia ofisi ya Mkurugenzi kama kichaa na kuhoji aina gani ya utendaji, katika awamu hii inayoogopwa kama moto.
 
Sijataka kuweka mengine kama halmashauri kukosa umeme kisa luku imeisha namengine mengi.

Kwakweli inakera sana yeyote afutilie atanipa jibu kama langu

Sent from my PTM-Z-mini using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom