Wadada what so special kwa qeen elizabeth lotion?

hesalieyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
378
Reaction score
416
jamani naomba mnishawish uzuri na faida ya hiyo lotion .chitaji kujichubua please
 
haina lolote,eti wema alipiga nayo picha
 
nimeletewa na mtu anauza tsh.elfu 35,nikamwambia ngozi yangu imezoea lotion ya buku 3,haizidi hapo.
 
haina lolote,eti wema alipiga nayo picha

Hahahahaaa ni nzuri org ni gali zaidi kuna mtu anaitumia huu mwaka km 25 ni soft balaa na ang'avu sijawahi mwona na kipele wala harara ni nzuri kwa kweli sema tatizo hela ikiisha inabidi ujikongoje tena kuinunua haichubui ila inakufanya unakuwa mwaaaa.
 
Usidanganyike kirahisi, ulaini wa ngozi ni asili ya mtu. Tangu niko form two napaka Rays watu walikuwa wananiuliza natumia mafuta gani, nikanzz mussoline cocoa butter, maswali hayo hayo. Kiasi kwamba wengine nikiwatajia wanahisi naficha, so usitumie mfano wa mtu mmoja ndio ukasifia product.
 
hata mimi hvyo hvyo sijawah tumia lotion wala nini nause mafuta ya mgando baby johson au vaseline na nipo soft
 
Hahahahaaa ni nzuri org ni gali zaidi kuna mtu anaitumia huu mwaka km 25 ni soft balaa na ang'avu sijawahi mwona na kipele wala harara ni nzuri kwa kweli sema tatizo hela ikiisha inabidi ujikongoje tena kuinunua haichubui ila inakufanya unakuwa mwaaaa.

Mnanunua uzuri.
 
Hehe wajinga ndo waliwao...kuna watu ngozi zao hazinaga shukrani...hata utumie nini..mimi natumia clere cocoa butter ziko ndogo 2500..kubwa 5000 lol. tangu niko form five...nikiwaambia watu hawaamini wanahisi nawaficha
 
Hakuna lolote.....mimi natumia kitu cha Vaseline aloe fresh buku 5 tu lakini sina harara wala nini.
 
natumia Olive oil and ninamuonekano mzuri

hiyo qeen elizabeth ni jina lingine jipya la caro lyt
 
haichubui??????? ila inangarisha which is wrong

ile inatoa ngozi taratiiibu hivyo unajichubua taratibuuu subir matokeo baada ya miaka kadhaa
 
Hakuna lolote.....mimi natumia kitu cha Vaseline aloe fresh buku 5 tu lakini sina harara wala nini.

nunua olive oil ngozi inakua nzuri sanaaa unapaka kila mahali aiseee hadi ukijishika unahisi raha
haina kemikali yoyote hata kuinywa waweza
 
Hehe wajinga ndo waliwao...kuna watu ngozi zao hazinaga shukrani...hata utumie nini..mimi natumia clere cocoa butter ziko ndogo 2500..kubwa 5000 lol. tangu niko form five...nikiwaambia watu hawaamini wanahisi nawaficha

Kama mpaka "tofali" umo kwenye list ya warembo wenye ngozi nzuri...basi sinunulii mtu tena hiyo queen elizabeth.
 
Yani acha tu...kwetu tunaasili ya ngozi nzuri..nyeupe c nyeupe..nyeusi c nyeusi...katikati lol...sasa mikorokoro ya nini
 
To be honest..incase hyo kitu ina athari kiafya..ni balaa.

Inapigiwa debe hadi kero. TFDA wako wapi wathibitishe ubora wake..manake mmm!
 
Bora Mimi Na Familia Yangu Tunatumia Bodyline Hivi Vingine Vya Maiti Hatuviwezi.
 
Haina lolote la maana ni promo tu.Kuna shost yangu kapaka makopo mawili kaona ni heri arudi kwenye nivea yake aloizoea hamna usspecial wowote.
 
natumia Olive oil and ninamuonekano mzuri

hiyo qeen elizabeth ni jina lingine jipya la caro lyt

hapana aichubui ina kupa mg'ao unaitakiwa kuea nao mi ni chocolate colour na nilikua napaka mafuta ya samona na sasa napaka pamoja na hiyo.iko vizuri ata paja linawaka kama uso.sio mwanamke paja au mgongo umesinyaa.but no kuchubua labda fake sjui.
 
Hehe wajinga ndo waliwao...kuna watu ngozi zao hazinaga shukrani...hata utumie nini..mimi natumia clere cocoa butter ziko ndogo 2500..kubwa 5000 lol. tangu niko form five...nikiwaambia watu hawaamini wanahisi nawaficha

Kwa nini usiweke nilu au chuping wewe si tofari?
 
Back
Top Bottom