Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Ni ajabu Waafrika pia tunalalamika mara Trump yuko sawa, mara sijui tuko hivi, sasa mnamlalamikia nani?
Mimi nafikiri moja kati ya mambo ambayo Mzungu alifanikiwa kwetu ni kutuondolea kujiamini, kwa kifupi sisi ni Watoto wa Muzungu kwa maana Muzungu katulea na ndiyo maana tukigombana hatuna uwezo kutatua matatizo tunarudi kwao kutafuta usuluhisho!
Kama ulishawahi kukaa na watoto wadogo labda wawili utaona hawana uwezo wa kutatua matatizo watacheza pamoja lkn wakigombana utaona hakuna mshindi ni lazima wewe mkubwa uingilie ndo waelewane tena na mara nyingi inachukuwa nusu dakika tu labda unawadanganya pipi wanaanza kucheka kusahau hata walichogombania na kuendelea kucheza na kukupa amani!
Siyo Afrika pekee ndo ina matatizo ni Dunia nzima, kwanza kuna Wachina wana maisha magumu kuliko wengi wetu sisi lkn huyakabili na huwezi kusikia wakikimbilia kwa Muzungu kutaka kupatanishwa, angalia Korea Kaskazini na wanayopitia hivi ingekuwa sisi Watoto wa Muzungu ndo Wakorea ingekuwaje?
Mnajua Wazungu walimwaga mavirus Korea wanaita biological warfare Wakorea wakafa wakajipanga wakaingia lab wakatengeza kinga na sasa wanaishi?
Ulishasikia Mkorea anajali Muzungu kamuita jina gani?
Hivyo sisi ni Watoto wa Muzungu na ndiyo maana tunajali anachosema Muzungu kama alichosema Trump angesema Mchina wala isingekuwa ishu, ...