Je, nimepata visa ya Marekani?

Je, nimepata visa ya Marekani?

smar-boy

Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
11
Reaction score
1
Wakuu Habari zenu... Katika harakat za Maisha nikajikuta nimeomba chuo marekan na Nikapata... Nimeenda kwenye interview ubaloz wa marekan.. Nikapigwa Maswali mpaka nkachanganyikiwa alafu mwisho WA siku Nikapewa kikadi niende kesho saa nane na nimeacha passport yangu ubaloz wa marekan.. Je apo nimepata visa?
 
si visa ila ni kadi inayoonyesha kuwa uko kwenye list ya wanatakiwa kupewa visa au kuhudumiwa
 
Sawa mkuu
kama nilivyokujibu mwanzo ni kwamba suala lako limeingizwa kwenye list ya watu wanaotakiwa kupewa visa,labda tu usiwe na moto sana mkuu unaweza kwenda kesho ukapata au uusipate kesho ukapata siku nyingine,ila utapewa ndani ya muda unaotakiwa ili wewe uwahi masomo yako
 
Asante mkuu
 
Umeshapata visa.kuacha passport ili watengeneze visa yako.ukifika unapewa visa yenye passport.jiandae kwa safari tu
 
Wakuu Habari zenu... Katika harakat za Maisha nikajikuta nimeomba chuo marekan na Nikapata... Nimeenda kwenye interview ubaloz wa marekan.. Nikapigwa Maswali mpaka nkachanganyikiwa alafu mwisho WA siku Nikapewa kikadi niende kesho saa nane na nimeacha passport yangu ubaloz wa marekan.. Je apo nimepata visa?

WAKIKUPA HIKO KIKARATASI WANAKUAMBIA KABISA UJE KESHO ITAKUWA TAYARI NA VIZA, NAONA ULITAKA TU TUJUE UMEPATA VIZA
 
Marekani kutamu sana. Jipange uishi kule tu
 
Back
Top Bottom