Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Siku moja mwaka 2008 wakati nipo likizo nikiwa nasoma O'level nilipata likizo ya Midterm nikaamua kwenda kusalimu ndugu na jamaa kijiji kimoja kinaitwa Msolwa station kipo huko Wilaya ya kilombero...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Huyu mtu anayeitwa Nathan Ferdinand CEO wa United Airlines anakusanya hela nyingi sana kwa recent Graduates akiwadanganya kazi. Ni bora serikali ya CCM imumulike huyu huyu mtu. Anawadanganya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
UFAFANUE JUU YA SUALA LA WATEGEMEZI WA WANACHAMA WA NHIF, WANACHAMA WASTAAFU NA KUKATALIWA KWA KADI KATIKA VITUO VYA HUDUMA. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), unapenda kufafanua juu ya...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Kitendo cha waziri mkuu wa Uingereza kutulazimisha tuwe mashoga kimenitia kichefuchefu. Hivi Cameroun anataka watanzania au waafrika wawe mashoga ili nani awaoe? Jamani hawa wazungu wametudharau...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Binilith Mahenge MANISPAA ya Dodoma, jana ilianza shughuli ya kubomoa nyumba za makazi, biashara na huduma mbalimbali ambazo zimejengwa bila kuwa na kibali. Pamoja na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakili wa kibinafsi wa muda mrefu wa rais wa Marekani Donald Trump amekiri kibinafsi kumlipa nyota wa filamu za ngono $130,000 (£95,000) mwaka 2016, katika taarifa kwa vyombo vya habari vya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Chama cha walimu Tanzania CWT kinawataka walimu watulie kwani malipo ya madeni ya watumishi wa serikali yatakayolipwa mwezi huu. Walimu wengi taratibu zilikuwa hazijakamilika, bali sasa ni hatua...
0 Reactions
4 Replies
898 Views
Huyu Afisa anaye elekeza au anayesimamia uegeshaji wa magari madogo anachukuwa RUSHWA wazi wazi kwa kuwatisha wenye magari.Wahusika mchukulieni hatua mtumishi huyu Jina lake silijui lakini ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa chama tawala cha ANC Cyril Ramaphosa anatarajiwa kuapishwa kuwa rais wa Afrika Kusini baada ya rais wa taifa hilo Jacob Zuma kujiuzulu. Bwana Zuma alikuwa chini ya shinikizo kali...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Upande wa utetezi katika kesi ya kuhujumu uchumi inayomkabili mfanyakazi mstaafu wa Shirika la Mafuta Tanzania na Zambia (Tazama), Samwel Nyakirang'ani (63) na wenzake sita umeiomba...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni wazi wabunge ndiyo walioshika usukani wa nchi kwa kutunga sheria maridhawa za kuongoza nchi yetu. Iwapo wananchi wanawachagua ili wabunge wawawakilishe wananchi bungeni halafu hakuna...
0 Reactions
2 Replies
733 Views
Habari zenu wana JF Nimetafuta sana mawasiliano ya PCCB online nimeyakosa. Kuna rushwa na matumizi mabaya nimeyanyapia katika halmashauri kadhaa nilitaka niwaripotie ili wakafanye uchunguzi zaidi...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Naomba niwasemee watoto wetu wanaosoma shule ya sekondari Bunazi iliyopo mkoani Kagera , Hii shule toka muhula huu uanze wanafunzi wanaosoma masomo ya lugha haswa Kifaransa hawajawahi kufundishwa...
0 Reactions
4 Replies
814 Views
Wadau,tumekuwa tukibadilisha baadhi ya vifungu vya Katiba yetu kila wakati kutokana na mahitaji au vifungu hivyo kupitwa na wakati. Na 2014 palianzishwa vuguvugu LA mabadiliko ya Katiba...
0 Reactions
1 Replies
518 Views
Hatua hiyo imetokana na idara hiyo hivi karibuni kupokea malalamiko mengi kupitia kampuni na taasisi mbalimbali kuwa kuna watu wanapita kwenye ofisi wakijitambulisha kuwa maofisa kutoka uhamiaji...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Katika pita pita nimekutana na hii video ikimuonyesha askari Polisi kijana kabisa akipokea rushwa kutoka kwa dereva wa gari ndogo. Pamoja na hali ilivyosasa lakini mambo bado hayajabadilika...
5 Reactions
90 Replies
11K Views
Dar es Salaam. Mvua za wastani mpaka juu ya wastani zinatarajiwa kuanza kunyesha katika kipindi cha wiki ya kwanza ya mwezi Machi hadi Mei mwaka huu katika maeneo mengi hapa nchini. Hayo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tanzania ya Mwalimu Julius Nyerere sasa inabadilika kwa kasi ya ajabu; unatoka kuwa nchi ya amani na sasa inagubikwa na matukio ya mauaji ya raia kila uchao. Kibaya zaidi wanaouawa siyo vibaka...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Bei ya hisa za kampuni ya uchimbaji wa madini ya Acacia imeshuka katika masoko ya hisa ya London (LSE) na Dar es salaam (DSE) ikiwa ni muda mchache baada ya kampuni hiyo kutangaza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wandugu Hivi kwa nini hasa hii sekta bado mchango wake haueleweki ukianzia PATO la taifa(export)uzalishaji umeme,kwenye viwanda na pia kwa sisi watumiaji wa chini kwanza bei yake siyo rafiki kwa...
0 Reactions
2 Replies
640 Views
Back
Top Bottom