Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Chadema yapata pigo huko Kilombero Chama cha demokrasia na maendeleo (chadema ) mkoa wa Morogoro,Wilaya ya Kilombero, jimbo la mlimba, kimepata pigo kubwa baada ya Kufariki kwa aliyekuwa mgombea...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Baraza la watu watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi, Katika halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe wameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kutunga Sheria itakayopelekea watu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Viongozi naona wanakimbia ofisi zao kwa sababu tofauti tofauti wengine kwa mashinikizo na wengine kwa kuondoka wenyewe ofisini.
0 Reactions
3 Replies
964 Views
Ni tafakari tu ya maisha na Tabia zetu watanzania. Turudi nyuma kidogo nyakati zile za Nyerere, na Mwinyi. Maana yangu kuwa kuna tofauti kubwa katika mfumo wa maisha. Japo zama hizo hakukuwa na...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Najiuliza hili swali baada ya aliyekuwa Mbunge kuomba msaada wa rais ili asaidiwe matibabu. Na kweli rais alituma gari la wagonjwa na kumsafirisha moja kwa moja kwenda Muhimbili. Ni wabunge hawa...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Rita kuna uonevu unaendelea wakubwa wanatumia nafasi zao kuambia watu kuwa hati za kuzaliwa za bibi zao na mama zao ni feki na kuomba rushwa ya mpaka milioni kutengenezewa hati nyingine ambayo...
0 Reactions
1 Replies
813 Views
Mitandao mingi siku hizi hapa nchini imekosa mijadala ambayo ni hot na inayoleta msisimuko wa mjadala ikilinganisha na zamani wakati wengi walikuwa wanaongea uhalisia na kutokana na utashi wao...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
SHERIA : Raia wa Lithuania, Kristina Biskaveskaja (kushoto) anayetuhumiwa kwa usafirishaji wa dawa ya kulevya aina ya heroine zenye uzito wa gramu 3775.26 zikiwa na thamani ya Sh169.8 milioni...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Unamtetea mnyonge mmoja kwa kumsababishia mnyonge mwingine mshtuko wa moyo!. Vipi kama huyu aliyepatwa na mshtuko wa moyo akipoteza maisha?, hao wanyonge wengine wanaomtegemea, nani atawapatia...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
BREAKING: Sheria Mpya Uchimbaji wa Madini ya 'TANZANITE' - Mh Biteko via YouTube Ila tazameni yule mwandishi wa habari kule nyuma?! Anasinzia, anapiga mihayo, anarembuwa macho, kalegea kama...
1 Reactions
0 Replies
835 Views
naomba kujua jamani,unapoagiza vitu kama magari au mitambo,kodi zake zikoje!?
0 Reactions
3 Replies
934 Views
Wakuu habari za mchana, Nilikua naomba mnambie basi zuri la kutoka A town to Makonda city lenye charging, wi-fi Ahsanteni.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya nchini India, imemkamata Mtanzania Brayton Lyimo katika uwanja wa ndege wa Indira Gandhi (IGI) akisafirisha kilogramu 4.8 za heroin zenye thamani sawa na...
5 Reactions
25 Replies
8K Views
Napenda kutoa malalamiko yangu kuhusu hiki kituo kama ifuatavyo:- 1. Hamna daktari nesi ndo daktari. 2. Hakuna confidentiality maana huyo nesi(dokta) kakaa na vijana wawili ambao sifahamu kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi kama muumini wa kanisa katoliki ningependa kutoa maoni yafuatayo kuhusu kanisa la St. Peters Oysterbay ukilinganisha na lile la Katoliki Mwananyamala (haya ndiyo ninauzoefu nayo)katika...
9 Reactions
31 Replies
5K Views
Maganda 25 ya risasi za bunduki aina ya Sub Machine Gun (SMG), jana yalipokelewa mahakamani kama kielelezo cha kesi ya mauaji ya kukususia ya mfanyabiashara tajiri Erasto Msuya. Shahidi wa 24 wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
HIFADHI YA JAMII KWA WOTE Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inaendesha zoezi maalumu la kuhakikisha Wanachama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Asubuhi pale Kimara terminal huwa kuna hali mbaya ya msongamano wa abiria kuanzia kwenye kukata tickets hadi ndani kwenye kupanda ni kama vita vile abiria wanvyosukumana kupanda magari. Sasa leo...
11 Reactions
45 Replies
5K Views
Kwa nchi kama yetu Muda huu najua wengi tuko bize na Google katika ku drive apps kama Instagram facebook WhatsApp na ubize mwingi kwenye smartphone, tujue tunapoteza muda sana kuongeza wigo wa...
10 Reactions
62 Replies
4K Views
Mgeni rasmi atakuwa mh Anthony Mavunde ambaye ni Naibu Waziri wa kazi ambapo maDJ wataomba shughuli zao zitambuliwe rasmi na serikali na kuheshimiwa. Pia wataomba kuanzia sasa Djs wawe wanapewa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom