Shule kukosa walimu wa lugha

Shule kukosa walimu wa lugha

Barikiel

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
404
Reaction score
408
Naomba niwasemee watoto wetu wanaosoma shule ya sekondari Bunazi iliyopo mkoani Kagera , Hii shule toka muhula huu uanze wanafunzi wanaosoma masomo ya lugha haswa Kifaransa hawajawahi kufundishwa matokeo yake wanajisomea wenyewe. Je, mwaka huu wa mwisho watafanya vipi mitihani yao?

Hapa naongelea wale wa kidato cha tano na sita. Naiomba Serikali ifuatilie hili ni tatizo.

Nawasilisha.
 
Hiyo ni shule binafsi au ya Serikali? maana shule ya Serikali kuwa na hilo somo sijaona.
 
Ni shule ya Serikali. Mwaka Jana mwalimu alikuwepo, lakini msimu huu wanadai kulitokea mvurugano hapo shuleni huyo mwalim akaondoka na hakurudi tena . Sasa ni nacho jiuliza watoto watarudi na mrejesho gani?
 
Kwanza hiyo avatar mkuu ungeibadilisha kidogo maana unanipa wakati mgumu kwa maeneo niliyopo.
Cc Mshana Jr.
 
Back
Top Bottom