Nani awaoe MASHOGA wa Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani awaoe MASHOGA wa Tanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ground Zero, Nov 1, 2011.

 1. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kitendo cha waziri mkuu wa Uingereza kutulazimisha tuwe mashoga kimenitia kichefuchefu. Hivi Cameroun anataka watanzania au waafrika wawe mashoga ili nani awaoe? Jamani hawa wazungu wametudharau kiasi kwamba wameona wanaweza kumuoa yeyote Afrika hata kama ni mwanaume? Pumbavu kabisa.

  Mimi najiuliza kama kweli Cameroun aliwaeleza viongozi wa Afrika akiwemo Kikwete, Je raisi wetu alilipokeaje, kwanza kitendo cha mwanaume mwenzako kukaapproach na kuanza kukushawishi ukubaliane na habari za kugongwa ni dharau kubwa, na pili kitendo cha wewe kukubali kusikiliza upumba​vu wa namna hii kinampa matumaini ya kwamba hata wewe unaweza kuja kuwa shoga kama sio shoga. Haya ndiyo madhara ya kujitembeza kwenye majukwaa ya kimataifa kama mwalimbwende tukihubiri umasikini wetu.

  Nawatahadharisha viongozi wetu hasa wale wanaopenda sana kuwatembelea hawa jamaa, wasishangae siku wakiombwa.....au kwa sababu sisi ni nchi ya kununuliwa mpaka suti ndio wanatufikiria kipumbavu hivi...sh..t
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Naona David Cameroon ameamua kushika masaburi ya waafrika kwa kupenda penda misaada.
  Chagueni moja mwendelee kutembeza bakuri kwao au mruhusu waje wawashikishe ukuta watoto wenu wa kiume.
   
 3. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Ground Zero, anataka wewe uwaoe
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,319
  Likes Received: 22,164
  Trophy Points: 280
  mwenyekiti wa chama cha kijani sijui anasemaje kujitetea na ubaradhuli huu
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,434
  Likes Received: 19,775
  Trophy Points: 280
  hahahha nimecheka hadi basi ..hapa underlined inabidi aanze na masaburi ya huyo huyo anayependa kusaafiri safiri kuomba misaada.
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Huyo kwa jinsi tunavyo mjua atapitisha tu la sivyo itabidi apunguze kuzurura majuu.
  Lakini alisha sema mwenyekiti kuwa **^^+..Ukikubali kula kubali kuliwa..+^^**:cheer2:
   
 7. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @Gaijin.. Wanaume wakiolewa wanawake watafanyaje?
   
 8. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Hakika tunaishi katika kipindi cha siku za mwisho. Hii yote ni kazi ya shetani. Shetani anataka kuwashika watu wote waenende sawa sawa na ushetani wake. Umasikini wetu utatuponza, maana tutaburuzwa kufanya yale tusiyoyataka.

  Bado tunauwezo wa kujitegemea. Nchi yetu ni tajiri sana. Tufunguke tufanye kazi kwa bidii kwa maslahi ya wananchi. Kipindi cha kukumbatia viongozi wanaotupeleka na kutudidimiza kwenye umaskini kimekwisha. Watanzania tuamke sasa, bado hatujachelewa.

  Eeeee mungu, tuwezeshe watu wako!
   
 9. zululima

  zululima Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ground zero, pole ndugu yangu. hii miwatu lazima ifurahie kwamba sasa itaolewa hadharani na kupigiwa kiduku. Tena yawezekana ukoo wao wote was...... SHENZ TYPE.
   
 10. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Haha!si ajabu tayari kashamaliza na siyo kuanza!jiulize kwanini kila kukicha yuko ng'ambo?
   
 11. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hahaha mkuu umenifanya nicheke ... dah !kuna ukweli ndani yake
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ndo maanake viongozi wetu wanatia aibu kila siku misaada misaada alafu misaada yenyewe inawaneemesha wao sisi wanyonge tunaendelea kuwa maskini sasa wameamua kuja na gia ya kuwashika masaburi kwa ujinga wao watakubali wewe subiri
   
 13. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ubatili mtupu, pumbavu zenu wa UK mnaopenda ushoga,
   
 14. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  hivi kumbe hii ishu ni siriaz jamani.............mi nlidhani chai
   
 15. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  Huyo kamerun aanze yeye kushika ukuta
  asituletee ufirauni wake hapa!!!
   
 16. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Kama tumeshindwa kujitegemea na midhahabu yote hii, nadhani tumeumbwa kushika ukuta, baaaaasi!
   
 17. T

  Think Tank JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 234
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hiyo misaada wakae nayo na ushoga wao hukohuko.Sehemu za kutolea ma.vi mnataka ziwe halali kwa tendo la ndoa!Wa.se.nge wakubwa.Eti haki!Kulawiti au Kulawitiwa ni haki?Mnataka mtuharibie vijana we2 wawe wanatutingishia ma.tak.o mtaani.Mnawatafutia soko eeh?Kwa vle mnajua kuna viafrika vinapenda watasha?
   
 18. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  CDM itisheni maandamano ya kulaani Uingereza kwa kutoa masharti yasiyokuwa ya kibinadamu.
   
 19. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,917
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Naona hawa wazungu walikuwa wanagongwa mashuleni na wanataka kuhalalisha ujinga huu kwa pesa walizo nazo.
  Wakiwapenda mashoga wape uraia huko huko kwao
   
 20. S

  SIKUOGOPI Member

  #20
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna siku niliwahi kuandika Neno kamili kama Biblia ilivyoandika kwenye Kitabu cha 1 WAKORINTHO:Mlango wa 6: Mstali wa 9:Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,

  Hivyo neno Wafiraji ni Neno Halali na Kama JF ni zaidi ya BIBLIA sawa!
   
Loading...