Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu wanajamvi, Kwa mtazamo wangu niliopata kuona hasa sehemu za kitaaluma kama vyuoni, wanafunzi waliosomea government wanawakimbiza kitaaluma waliosomea private schools.
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu habarini!. Hakuna mtu hata mmoja ambaye hadi sasa hajaathirika na siasa za Tz kwa namna yoyote ile. Lakini pia hakuna mtu ambaye hadi sasa hajaathirika na imani za kidini za Tz hapa. Yaani...
2 Reactions
3 Replies
869 Views
Kwa heshima kubwa kabisa kwanza kama kiongozi lakini pili kama mkubwa wangu kwa umri lakini tatu kama mtanzania mwenzangu napenda kukuandikia haya machache ambayo nina uhakika utayaona na...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
KWA mara ya kwanza katika historia, hatimaye wanasayansi nchini Uingereza wamefanikiwa kutengeneza kwa maana ya kuzalisha na kukuza mayai ya binadamu kwenye maabara mafanikio ambayo yametajwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Serikali ya awamu ya tano imejipambanua kuwa inapambana na rushwa na kutaka watu wote wafanye kazi. Huyu mkuu wa chuo cha ualimu Tukuyu ndugu Ubaya Salum kwakweli anakwenda kinyume kabisa na...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wana jamii Kwakweli jambo ambalo tunapaswa kujivunia watanzania ni jambo hili la ukusanyaji kodi. Wananchi wengi wameitikia na kuunga mkono juhudi za serikali na muda si mrefu matunda...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika mkutano huo uliofanyika Februari 10, 2018 Makonda aliwaita jukwaa kuu wakuu wa idara ya ardhi na nyinginezo kutoka manispaa zote tano za Dar es Salaam na kuwahoji kuhusu ardhi. Dar es...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Ofisa Msaidizi wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Jennifer Mushi amekana kumiliki magari 19 yenye thamani ya Shilingi Milioni 197,601,207 yasiyolingana na kipato chake katika Mahakama...
3 Reactions
151 Replies
16K Views
Siku ya Jumamosi wiki iliyopita majira ya saa 10:30 jioni uligunduliwa mwili wa kijana Agel katika kiwanja cha bwana mmoja mtaani hapa ambapo uchunguzi wa awali ilibaini kuwa kifo chake kilitokea...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hivi vyama msingi wake ni kushirikiana tu,au kuna nini nyuma ya pazia? maana kama ni kusaidiana,watanzania ni wamoja Tangu uhuru,iweje kuwe na vyama vya ukanda?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Tanzania ina vitengo viiingiii ya kufuatilia masuala ya usalama. Vipo karibu kila mahali na watendaji wake siyo lazima wajulikane. Miongoni mwa vitengo hivyo ni kile kinachoitwa Financial...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Picha inaongea. Najua wale wenye roho mbaya kuliko shetani habari hii itawauma, yaani hawapendi kumuona Lissu akiwa anapata nafuu kama hivi. Hakika Mungu ni Mkubwa.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Jf Jinsi miaka inavyozidi kwenda kumeanza kutokea mabadiliko mengi hapa Tanzania. Yaani nashangaa siku hizi unakuta vijana wengi mashavu yameshadondoka...wakati umri ukiwa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imebaini maeneo ya bahari kuu, bandari, vituo vya mabasi na viwanja vya ndege ndio yanatumika zaidi kupitisha dawa za kulevya. Amesema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kutangazwa washindi wa tunzo za Mabati Cornel award na hatimae siku ya jana katika jiji la Nairobi ndani ya ukumbi wa Kenya national theatre washindi hao wawili kutoka Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Kila linapozungumzwa zuri la nchi jirani,watanzania hujitokeza kuponda sana.Na hadi jirani zetu wanatuita tuna roho ya korosho na wameshajua kuwa tukiona zuri kwao roho hutuuma mno. Binafsi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi karibuni kumeibuka michezo mingi ya kubahatisha, hasa kwa njia ya matumizi ya mitandao ya simu, kiasi kwamba mchezo wa Bahati Nasibu ya Taifa ni kama umekufa. HISTORIA YA MICHEZO YA...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Tumuombee mama yetu tulikuwa mama fi.SR FIDESTA thank you
3 Reactions
51 Replies
9K Views
Mjumbe hauwawi, angalia mwenyewe hapa. Pamoja na hayo, navilaumu sanaaaaaa! vyama vyote vya wafanyakazi kwa kuwa kimya hadi kufutwa kwa FAO LA KUJITOA.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, Siku Chache zilizopita, nimesikia kuanzishwa kwa Chama kipya cha kijamii, Cha wanasheria wasabato. Lengo kuu, la taasisi hiyo kama wahusika wanavyodai ni kulisaidia kanisa " Sabato"...
10 Reactions
151 Replies
17K Views
Back
Top Bottom