Huyu mwanadada ambaye amekatishwa uhai wake kitu cha thaman kisichomithilika katika mazingira ambayo maskini binti wa watu ameshambuliwa na kuuawa na waliotakiwa kumlinda. huyu binti alikuwa...
Mliowahi kusafiri na Ndege, Meli, Boats mtakua mnauelewa mzuri kuhusu LIFE JACKETS AU JAKETI LA MAISHA ambalo humsaidia abiria katika kuokoa maisha yake wakati wa ajali.
Katika Meli na Boti...
Amani iwe nanyi.
Naona kwa jinsi hili jambo linavyokwenda kama wameitwa watu ambao hawakubeba aina yoyote ya silaha lakini wanaambiwa wamesababisha binti kupoteza uhai wake muda si mrefu hata...
Habari.
Nilikuwa nataka kufahamu kama mtumiaji mpya kabisa wa sigara, nichague sigara ya kampuni gani na nzuri iliyokuwa na kiwango kidogo cha madhara yanayotokana na sumu ya nicotine...
“…kuna bendi siku hizi hazipigi muziki kwa sababu ya kuzima muziki saa sita usiku, lakini tunaamini ipo siku Serikali itatuachia kama zamani maana tumekuwa kama wafungwa kwa nini tumelize saa...
Mkuu wa wilaya ya Chunya huko Mbeya kwa jina Rehema Madusa ametoa amri ya kukamatwa kwa vijana wanaovaa mlegezo au mabinti wanaovaa miniskirts ili wakafyetue matofali ya kujengea nyumba za polisi...
Wataalamu wamesema kuanzia wiki hii na kuendelea na zijazo kutakuwa na hali ya joto kubwa usiku na mchana katika Ukanda wa Pwani.
Joto hili linadaiwa linaweza kusababisha upungufu wa maji mwilini...
Wiki chache zilizopita Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Hamisi Kigwangalla alitoa siku saba kwa polisi kukamata watuhumiwa wa mauaji ya mwanaharakati dhidi ya mauaji tembo Wayne Lotter, pia...
Muuza magazeti katika kituo cha Sadala wilayani Hia mkoani Kilimanjaro, Irene Shao amepewa adhabu ya kupiga deki ofisi ya mtendaji wa kata kwa miezi mitatu baada ya kushindwa kujitokeza kufanya...
Wakuu poleni na majonzi ya kumpoteza kijana mwenzetu Aqwillina.
Wakuu naombeni mnipe changamoto za huu mji wetu was Dar-es-Salam.
kwakweli nimeumia sana.
Mr, kuhamishiwa kazi Dar, sababu huu...
(kama wafanyavyo baadhi ya watu): chukulia ni wewe umenunua kiwanja ambacho hakijapimwa kwa bei shilingi milioni nane (8,000,000/=), halafu katika kufanya mchakato wa kupata hati ya kiwanja hicho...
Jambo wadau,
Nlikuwa nafuatilia sakata hili tangu last week, ama kwa hakika hawa jamaa walikurupuka. Kwanini nasema hivyo?
1. Wangetakiwa kufafanua watu hawa kama wote wapo kwenye makosa...
Waziri wa elimu akiwa kwenye ziara ya kushtukiza kwenye Chuo kikuu cha Kampala, amesema kwa mujibu wa kanuni za bunge kwa mtumishi wa umma, zinazuia mtumishi wa umma kuwa na ajira mbili.
Waziri...
Eti ukimuoa changudoa/dada poa, kwa ndoa ya kanisani anatakasika?! Huwa nasikia story yule dada mchafu sana, au ana mapepo, lakini wanaolewa na kua wake wema na kuwa na familia nzuri tu.
Je...
Kweli kufa kufaana, ikiwa hata machungu ya msiba hayajaondoka kuna taarifa kuwa wajasiriamali wameanza kukusanya rambi rambi kwenye mitandao kwa lengo la kupiga.
Msemaji wa familia amesema...
Wale waliopaswa kuishauri serikali kwa Haki ndio hao taasisi zao zimejaa madudu ya ajabu.....Wale wanatuhimiza kufanya toba ndio hao waliozidiwa na utajiri usio wa haki hadi wanahifadhi fedha...
Wakati Mkuu wa Morogoro alikuwa Mh Mzindakaya wakati huo kulitokea mgomo mkubwa sana wa wakata miwa wa kiwanda cha sukari cha Kilombero wakiwa na madai tofauti kubwa ni maslahi duni mazingira...
Baada ya matukio kadhaa kutokea kufuata uchaguzi wa Siha na Kinondoni kuna baadhi ya mitandano imeanza kuhamasisha kufanya maandamano lakini yenye nia ovu kulingana na mambo wanayotaka yadaiwe...
Mtoto wa mwanadamu anategemea sana wazazi kwa makuzi ; , mtoto anaendelea kukua katika ubongo vizuri kama akipata malezi mazuri , kutoka kwa primary caregiver , ambao ni baba na mama .
Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.