UBUNGO BUS TERMINAL

UBUNGO BUS TERMINAL

bibinnaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
1,500
Reaction score
1,379
Huyu Afisa anaye elekeza au anayesimamia uegeshaji wa magari madogo anachukuwa RUSHWA wazi wazi kwa kuwatisha wenye magari.Wahusika mchukulieni hatua mtumishi huyu
Jina lake silijui lakini ni mwenye kitambi na hupenda kuweko katika geti la kuingilia.Siku ya j4 nikiwa katika bus la kwenda mkoani majira ya Alfajiri alionekana akichukuwa rushwa ya shs elfu kumi kutoka mwenye gari ndogo ya Blue.
 
Ungempiga hata picha kwa siri ukaitupia humu ingependeza sana
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Back
Top Bottom