Mapicha mnayotumia habari za kimataifa yanaboa maandishi andishi juu ya picha ya nini wanawashinda hata tv 1 huwezi ona maandishi habari za kimataifa...fanyeni kununua picha kwa subscription kV...
Wakuu utakuta mtu anapoongea jambo la hovyo unaambiwa hizo ni ngojera tu.
Au utasikia hayo maneno yake ni taarabu tu.
Mimi mtazamo wangu ni kuwa Taarabu na Ngonjera zote ni kazi za sanaa...
Prophet Shepherd Bushiri told congregants at this Enlightened Christian Gathering (ECG) in South Africa to see live the Angels appearing in church during his sermon.
The vastly rich Bushiri who...
Mipango yangu yoote imevurugika, na hii ni baada ya kushindwa kupata usafiri wa kutoka huku serikal ya mapinduz kuja dar. Nilipofika bandarini saa8, nikaambiwa hakuna boti, hapa nasinzia...
Niliwahi kuleta uzi hapa kuhusiana na wapiga debe Kahama. Nimefika stendi hii juzi mambo ni sawa kabisa. Hakuna bugudha za wapiga debe na kila kitu kipo shwari. Katika kuulizia kulikoni; nikapata...
Hassan Abasi msemaji mkuu wa serikali tujulishe watumishi wengine waliokwisha hakikiwa watalipwa lini ama ndio mmemaliza. Tunajua kuna watumishi wa mashirika na makampuni yaliyopo chini ya...
Wakuu hawa wazungu siku hizi wamefulia eeh..
China amejenga uwanja wa ndege wa jeshi, atajenga chuo cha usafirishaji leo wametoa msaada wa kujenga ofisi za walimu. Wakati huo huo wazungu wanatupa...
Mwaka jana mwishoni nilitembelea wilaya moja huko kanda ya ziwa. nikiwa wilayani hapo nilishuhudia matukio mengi yakushangaza na kufunza sana. yapo matukio yaliyonihusu mimi mwenyewe na nikili ni...
Kutakuwa na misa ya Sr FIDESTA tarehe 18 mwezi wa pili st Peters saa mbili asubuhi daresalaam .Na mazishi Arusha,.Rambi Rambi unatuma pesa voda .ukitaka number mpigie jemma Ngwale
kwa yeyote aliyewahi kutapeliwa na matapeli ambao wana post matangazo ya kupangisha nyumba kupatana.com maarufu kama tall na bonge na mtandao wake wamepatikana, tuwasiliane kama uliwahi kupata...
Umepita msafara wa magari kama nane ya Polisi na katikati kuna gari ya magereza wanaelekea kama Kisutu.
Polisi wamevaa ninja wamejifunga vitambaa mdomoni na silaha zao wameelekeza juu kama vile...
Siku moja mwaka 2008 wakati nipo likizo nikiwa nasoma O'level nilipata likizo ya Midterm nikaamua kwenda kusalimu ndugu na jamaa kijiji kimoja kinaitwa Msolwa station kipo huko Wilaya ya kilombero...
Huyu mtu anayeitwa Nathan Ferdinand CEO wa United Airlines anakusanya hela nyingi sana kwa recent Graduates akiwadanganya kazi. Ni bora serikali ya CCM imumulike huyu huyu mtu. Anawadanganya...
UFAFANUE JUU YA SUALA LA WATEGEMEZI WA WANACHAMA WA NHIF, WANACHAMA WASTAAFU NA KUKATALIWA KWA KADI KATIKA VITUO VYA HUDUMA.
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), unapenda kufafanua juu ya...
Kitendo cha waziri mkuu wa Uingereza kutulazimisha tuwe mashoga kimenitia kichefuchefu. Hivi Cameroun anataka watanzania au waafrika wawe mashoga ili nani awaoe? Jamani hawa wazungu wametudharau...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Binilith Mahenge
MANISPAA ya Dodoma, jana ilianza shughuli ya kubomoa nyumba za makazi, biashara na huduma mbalimbali ambazo zimejengwa bila kuwa na kibali.
Pamoja na...
Wakili wa kibinafsi wa muda mrefu wa rais wa Marekani Donald Trump amekiri kibinafsi kumlipa nyota wa filamu za ngono $130,000 (£95,000) mwaka 2016, katika taarifa kwa vyombo vya habari vya...
Chama cha walimu Tanzania CWT kinawataka walimu watulie kwani malipo ya madeni ya watumishi wa serikali yatakayolipwa mwezi huu.
Walimu wengi taratibu zilikuwa hazijakamilika, bali sasa ni hatua...
Huyu Afisa anaye elekeza au anayesimamia uegeshaji wa magari madogo anachukuwa RUSHWA wazi wazi kwa kuwatisha wenye magari.Wahusika mchukulieni hatua mtumishi huyu
Jina lake silijui lakini ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.