Serikali Ya CCM ishugulikie Matapeli Kama Nathan Fednand

Serikali Ya CCM ishugulikie Matapeli Kama Nathan Fednand

Nairobian

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
873
Reaction score
2,283
Huyu mtu anayeitwa Nathan Ferdinand CEO wa United Airlines anakusanya hela nyingi sana kwa recent Graduates akiwadanganya kazi. Ni bora serikali ya CCM imumulike huyu huyu mtu. Anawadanganya mishahara mikubwa sana pamoja huku akiomba hela za Uniform

Tanzania haina kitu kama United Airlines. Huyu ni professional cornman. Polisi, Usalama, Takukuru, please apprehend this conman
Screenshot_20180214-210421.png
 
Hakuna watu wenye roho mbaya kama ma HR.
Unamnyima mtu kazi kisa tu,HR mwenzako kakuambia waligombana
Mkuu hayo mambo ya roho mbaya ni kila mahali yapo. Ila kinachotuzofautisha ni hulka zetu. Kwa hiyo alokunyima kazi kwa sababu hiyo ni hulka yake tu.
 
Back
Top Bottom