Chama cha walimu Tanzania CWT kinawataka walimu watulie kwani malipo ya madeni ya watumishi wa serikali yatakayolipwa mwezi huu.
Walimu wengi taratibu zilikuwa hazijakamilika, bali sasa ni hatua za mwisho mwisho, wakati wowote kuanzia sasa watalipwa.
Je, kuna ukweli juu ta hili? Hivi waziri wa fedha katika hotuba yake aliligusia?