kunze
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 400
- 472
Wadau,tumekuwa tukibadilisha baadhi ya vifungu vya Katiba yetu kila wakati kutokana na mahitaji au vifungu hivyo kupitwa na wakati.
Na 2014 palianzishwa vuguvugu LA mabadiliko ya Katiba lililopelekea kuundwa kwa Tume ya mabadiliko ya Katiba na hatimaye Bunge maalum la katiba ambayo hata hivyo imewekwa kapuni na wahujumu hali na demokrasia.
Sasa,kwa kuwa pamekuwa na vuguvugu nchi Afrika Kusini kulikosababisha kujiuzuru kwa Rais Zuma, nimekuwa najiuliza,inamaana Zuma alikosa pesa za kuwanunua mahasimu wake au kutumia mamlaka yake kama amiri jeshi mkuu kuyaamuru majeshi ya nchi hiyo kuwakamata wote walio nyuma ya vuguvugu hilo? Au kwa nini asingeagiza usalama wao wawapeleleze mahasimu ikiwa hata kuwabambikia makosa ya uhujumu uchumi au utakatishaji fedha haramu? Je,alishindwa kitu gani hata kuwaomba kina Gupta wawanunue wabunge wa upinzani ili wasihoji sana kama wanavyonunuliwa hapa kwetu mchana kweupe?
Hivi hapa kwetu inawezekana jambo hilo ili mwaka mmoja kabla ya kumaliza awamu tuunde vuguvugu la kumtoa rais madarakani?
Na je,kwa nn tusibadilishe baadhi ya vifungu vya katiba yetu ili aje agombee huku? Maana ni mtendaji mzuri kiasi kufikia nchi yetu kumuomba msaada wa fedha alipokuja hapa Tanzania mwaka Jana?
Je,tunajifunza kitu gani kwenye issue hiyo?
Naomba mnisaidie kujaziajazia ili nielewe kwa kina.Naomba kuwasilisha mada hiyo.
Inshaalah