Tunaomba Serikali ifuatilie hizi hujuma RITA

Tunaomba Serikali ifuatilie hizi hujuma RITA

Siwema2012

Member
Joined
Feb 14, 2018
Posts
66
Reaction score
62
Rita kuna uonevu unaendelea wakubwa wanatumia nafasi zao kuambia watu kuwa hati za kuzaliwa za bibi zao na mama zao ni feki na kuomba rushwa ya mpaka milioni kutengenezewa hati nyingine ambayo ndio feki na wanashirikiana na muhindi mmoja kutengeneza hizo hati feki naomba wahusike walifuatilie hili.
 
Back
Top Bottom