MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,368
Mitandao mingi siku hizi hapa nchini imekosa mijadala ambayo ni hot na inayoleta msisimuko wa mjadala ikilinganisha na zamani wakati wengi walikuwa wanaongea uhalisia na kutokana na utashi wao.
Lakini mijadala mingi siku hizi imejaa sana hisia tu na chuki kiasi kwambo ule mvuto tena haupo na hata mitandao mingi kupoteza muelekeo na ile ladha tulioizoea hapo awali.
Ukisoma mada nyingi michango mingi ni matusi,kejeli,maneno yasiyo na staha,hisia tu,uwongo mwingi kuliko ukweli,hakuna facts kiasi hata kufungua sometimes baadhi ya mitandao ili upate la maana unapata kigugumizi fulani hivi.
Sijui ni kwanini hali imekuwa hivi?
nini kifanyike kutoka hapo tulipo?
Members wengi wa zamani siku hizi wako kimya sana sijui kwanini?