India: Mtanzania Brayton Lyimo akamatwa uwanja wa ndege akisafirisha Heroin

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya nchini India, imemkamata Mtanzania Brayton Lyimo katika uwanja wa ndege wa Indira Gandhi (IGI) akisafirisha kilogramu 4.8 za heroin zenye thamani sawa na shilingi 351 milioni. Lymo anatajwa kama sehemu ya mtandao wa wauza madawa wa Kiafrika.

Unga.png
 
Watu wana maono ya mbali. Anapambana apate cha kuonesha Kilisimasi.
 
Mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya nchini India, imemkamata Mtanzania Brayton Lyimo katika uwanja wa ndege wa Indira Gandhi (IGI) akisafirisha kilogramu 4.8 za heroin zenye thamani sawa na shilingi 351 milioni. Lymo anatajwa kama sehemu ya mtandao wa wauza madawa wa Kiafrika.

huyu jamaa kama mwanangu wa mwananyamala..
cc mshana
 
Haya mambo vijana kupenda slope tutaishia kubaya,tufanye kazi za halali njia za mkato ni hatari.
Na wazee nao hawapo nyuma jana nimekutana na mzee ametoka kubet ana rundo la mikeka
Kufanya kazi hawataki. Yule wa China ambae mwanae amerurdishwa alitolewa kete 37 tena makalioni.. Unaweza kumshangaa mtu yupo kama mwanaume kumbe watu wanamkoboa kutokana na hayo mambo
 
Duh, hatari tupu, at least he tried!! Kuliko kununulia na CCM uanze kuukana utu wako na kuwatukana Watanzania wenzako!!
hivi ndivyo "GT" ya jamiiforums inavyodhalilisha,sasa ni dhahiri member wanaongozwa na mihemko na hisia.
ule mfumo wa gt ushakufa.
 
Back
Top Bottom