Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Serikali haikuamin mpka Jana mchana kama ccm itashinda, serikali kupitia polisi wakashindwa kutoa kauli ya kueleweka lkn wakakiri wamesababisha mauaji, hiyo yote ililenga kuwa plan b kama mtulia...
0 Reactions
3 Replies
638 Views
Mpaka sasa hasira zinaniwaka kama watanzania wengi wanavyojisikia sasa. Sihitaji kueleza yaliyotokea ila kauli ya Rais, polisi na Ndalichako ndizo zimenizidishia hasira. Mwaka 2007 dada yangu...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Mara ya kwanza kuona ili jambo niliona Arusha kwenye kanisa la Safina pale Mbauda mwaka 2012 Safina walikuwa wanafanya tofauti, yani wewe unanunua maji yako au chumvi hata sabuni inakuja...
5 Reactions
93 Replies
8K Views
Je,Tundu Lisu anaweza kuwa Nabii?
0 Reactions
0 Replies
470 Views
Habarini za jioni wana forum naomba kujua gharama halisi za Fundi wa nyumba kuanzia hatua ya msingi mpaka boma na kuezeka nyumba itakayo tumia tofali kuanzia 1500 mpaka 2000 nyumba ya vyumba...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Imekuwa ni kawaida kwa wakenya kutangaza kuwa mlima Kilimanjaro uko Kenya. Mlima Kilimanjaro ndiyo mlima mrefu kuliko yote barani Afrika ukiwa na urefu wa Mita 5,895 kutoka usawa was bahari...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Samahani wakuu wa ulinzi ! hivi majeshi yetu yana TEKNOLOJIA ambayo ipo SIRINI sana bila sisi kufahamu ? kuna video nimeitazama ni ya muda mrefu, wanajeshi wakipiga mazoezi makali...
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Kila mwaka inajulikana kwa ndugu zetu wa Kilimanjaro kusafiri mwishoni mwa mwaka kusherehekea sikukuu na jamaa zao. Ni jambo zuri na la kuigwa. Ila wengine huwa hawana nauli hivyo hudandia maroli...
11 Reactions
141 Replies
12K Views
Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni, wakiwa nyumbani kwa mwanafunzi Akwilina Akwiline kutoa pole kwa familia yake inayoishi Mbezi Louis, Dar es salaam...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wanajamvi naomba kujua je ni utaratibu upi unatumika kumkaimisha mtu nafasi ya mwenyekiti wa mtaa anapokuwa anaumwa kiasi cha kushindwa kutekeleza majukumu yake au anaposafiri au kutokuwepo kwa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amefunguka na kusema mtu huyu ambaye ni mlemavu wa miguu ambaye amekamatwa na polisi ndiye anauwa Watanzania mbalimbali jijini...
1 Reactions
85 Replies
12K Views
Mwalimu wa shule ya msingi Dutumi iliyopo tarafa ya Mvuha wilayani Morogoro aliyefahamika kwa jina ya Rahaleo Salehe Kazimbaya amejinyonga hadi kufa kwa kutumia Kanga kujitundika kwenye mti wa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
DAR: Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa polisi wa Kinondoni, Jumanne Muliro amesema Jeshi hilo limemchukulia hatua za kinidhamu Askari Polisi aliyeonekana katika picha ya video akichukua rushwa, Duh...
1 Reactions
199 Replies
27K Views
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
1 Reactions
2 Replies
827 Views
Wiki moja sasa imepita. Umewahi kujiuliza ni nini hatma ya maisha haya hata baada ya kupata kila unachotaka? Karibu katika tafakuri juu ya maisha yetu katika mkutano mkubwa unaoendeshwa jijini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
yaan, kwa mfano, unaenda kuiba unamua kuambatana na mkeo pamoja na mtoto!!?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ramia ya kisasa huwa na: 1) risasi yenyewe 2) ganda la ramia; mara nyingi ni ya metali 3) baruti au kemikali yenye uwezo wa kuwaka haraka mara moja ikitoa gesi 4) mguu wa ganda ni pana kwa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Tuwasogezee hapa waandishi Wa habari maswali ya msingi kuhusu uchaguzi uliopita Ili watakapofanya mkutano na IGP wapate kujibiwa . Kama waandishi Wa habari wasipokuwa makini tutarajie majibu...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Back
Top Bottom