Coffee
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,304
- 1,313
Asubuhi pale Kimara terminal huwa kuna hali mbaya ya msongamano wa abiria kuanzia kwenye kukata tickets hadi ndani kwenye kupanda ni kama vita vile abiria wanvyosukumana kupanda magari.
Sasa leo asubuhi ilikuwa hali mbaya zaidi kituoni ndani abiria wamejaa hakuna pa kukanyaga nje kwenye tickets nyomi kwenye machine za kuilingilia msongamano hatari na magari hakuna kwa hali ile kuna abiria kibao waliacha kukata ticket wakawa wanapenya kwa chini kwenye zile machine maana askari walizidiwa na abiria wengine walikuwa wanavutana mashati na askari ikawa advantage kwa watu kuingia bila kuwa na ticket.
Uongozi kwa hali ilivyo ni wazi mmeshindwa uendeshaji wa mradi huduma ni mbovu.