Siku ya maDJ duniani kufanyika kitaifa Dodoma 9/3/2018 wanasiasa CCM na Chadema kushiriki!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,767
141,630
Mgeni rasmi atakuwa mh Anthony Mavunde ambaye ni Naibu Waziri wa kazi ambapo maDJ wataomba shughuli zao zitambuliwe rasmi na serikali na kuheshimiwa. Pia wataomba kuanzia sasa Djs wawe wanapewa leseni kwani uDj ni kazi ambayo serikali inaweza kuipoint kama chanzo muhimu cha ajira, hayo yamesemwa na Katibu wa chama cha DJs Tanzania.Source Baragumu Channel ten Tv!
 
Back
Top Bottom