Watanzania wengi wanapoteza muda kwenye 'smartphone'?

Watanzania wengi wanapoteza muda kwenye 'smartphone'?

baba Moses

Senior Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
100
Reaction score
80
Kwa nchi kama yetu Muda huu najua wengi tuko bize na Google katika ku drive apps kama Instagram facebook WhatsApp na ubize mwingi kwenye smartphone, tujue tunapoteza muda sana kuongeza wigo wa kufikiria na hata kutenda kitu.

Natoa angalizo kama tusipojirekebisha, kujiendeleza kitaaluma tukisubiria tufanyiwe kila kitu kama vile kujengewa reli madaraja, mahospitali maghorofa, mwendo kasi tukae tukijua tunajipeleka kwenye mikono ya utumwa sisi wenyewe bila kupenda.

Maana tunawakaribisha ngozi nyeupe sisi wenyewe na kuwapa miradi mikubwa na sisi wenyewe wote kukaa pembeni tukisubiria eti atoe kodi ndipo tufaidike.

Hata ajira tunazopewa ni ulinzi na usafi, baada ya miaka mia ijayo tunaweza jikuta tuko mikononi tena kwa wazungu tukitumikishwa.

Watanzania wenzangu tubadilike popote pale ulipo, itafika muda mjini na maeneo mazuri wamejaa wazungu na wachina.

Sisi tutaishia vijijini pamoja na uswahilini. Tufanye kazi kwa juhudi na maarifa tusije rudi kwenye ukoloni ambao Mwalimu Nyerere alitukomboa.

Tumekuwa watu wa kuridhika na kustarehe kwenye mitandao. Mwisho wa siku nchi yetu wenyewe tutapangiwa maeneo ya kutembea kama ilivyo South Africa.

Nawasilisha
 
Muda huu nipo hotel usingizi hauji kbs maana vyumba vya jirani nasikia watu wanakazana vibaya mno...
 
Kwahiyo unataka tufanye nini? Kushinda kwenye mtandao sio sababu ya kutotimiza wajibu. Wengine kazi zetu hazikabi kiviile.
Sa kama kazi haikabi basi ndio muda ya kuongeza Maarifa zaidi.
Na ndio maana Rais wa Urusi alisema Mimi sijawahi kutumia smartphone., lakini sisi wa bongo bila kutoa smartphone kwenye daladala au mwendo kasi basi hujafika safari yako.
 
Mwambie wengine tunasubiri hesabu tu jioni, kutwa kucha tumelala na simu zetu viganjani
Sa we unaridhika kusubiria hesabu kama mwanamke goli kipa sa nchi itaendeleaje mkiwepo binadamu mia kama wewe mnakula kulala kunya bure.??
Kigezo mnasubiria hesabu
 
Kwa nchi kama yetu
Muda huu najua wengi tuko bize na Google katika ku drive apps kama Instagram facebooks watsap

Na ubize mwingi kwenye smartphone.

Lilahi tujue tunapoteza muda sana kuongeza wigo wa kufiria na hata kutenda kitu.
Natoa angalizo kama tusipo jirekebisha, kujiendeleza kitaaluma tukisubiria tufanyiwe kila kitu kama vile kujengewa reli madaraja,maospitali maghorofa,mwendo kasi tukae tukijua tunanipeleka kwenye mikono ya utumwa sisi wenyewe bila kupenda.

Mana tunawakaribisha ngozi nyeupe sisi wenyewe na kuwapa miradi mikubwa na sisi wenyewe wote kukaa pembeni tukisubiria eti atoe kodi ndipo tufaidike.
Hata ajira tunazopewa ni ulinzi na usafi.

Baada ya miaka mia ijayo tunaweza jikuta tuko mikononi tena kwa wazungu tukitumikishwa.

Watanzania wenzangu tubadilike popote pale ulipo.
Itafika muda mjini na maeneo mazuri wamejaa wazungu na wachina.
Sisi tutaishia vijijini pamoja na uswailini. Tufanye kazi kwa juhudi na maarifa tusije rudi kwenye ukoloni ambao mwalim nyerere alitukomboa.

Tumekuwa watu wa kuridhika na kustarehe kwenye mitandao. Mwisho wa siku nchii yetu wenyewe tutapangiwa maeneo ya kutembea kama Ilivyo south Africa.

Na wasilisha
Umewaza upande mmoja tu
Kuna watu hawapati pesa bila mitandao hizi ni ofisi za pia
Lakini unapata kufahamiana na watu zaidi na kuongeza maarifa pia biashara unauza nini utapata wapi soko ni mitandao
Mfano Mzuri jana tu nimekutana na mtu anaishi newzland anataka aje nchini kwangu kutalii nimtajie sifa za vivutio vilivyopo
bila mtandao ingekuwaje hapo
 
Umewaza upande mmoja tu
Kuna watu hawapati pesa bila mitandao hizi ni ofisi za pia
Lakini unapata kufahamiana na watu zaidi na kuongeza maarifa pia biashara unauza nini utapata wapi soko ni mitandao
Mfano Mzuri jana tu nimekutana na mtu anaishi newzland anataka aje nchini kwangu kutalii nimtajie sifa za vivutio vilivyopo
bila mtandao ingekuwaje hapo
Uzi huu hauna shida na wewe unae terminate apps za Google kupata In come.
Ni shida pale unakuta mbavu imeshiba muda huu amekaa kwenye sofa la shemeji yuko kwenye Google anacheka tuu meno yote nje.
 
Sa we unaridhika kusubiria hesabu kama mwanamke goli kipa sa nchi itaendeleaje mkiwepo binadamu mia kama wewe mnakula kulala kunya bure.??
Kigezo mnasubiria hesabu
Sasa kumbe ww ulitaka nifanye nini ndio uridhike au unaropoka tu?
 
Back
Top Bottom