Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu wana jf, jana majira ya saa tatu ya usiku nilienda bank kwaajili ya kutoa pesa, baada ya kufika pale kabla hata sijaingia ndani nikakutana na Polisi mmoja ambaye ni rafiki yangu sana...
5 Reactions
60 Replies
6K Views
Haloo, Nashukuruni wana jf wenye mioyo myema mliotoa mchango katk mda yangu ya MAKAZI KWENYE CONTAINER. concept ni ile ile, Hapa nafikiria cost minimize na kuwa double adventure ...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Kazi ya police kwenye maandamano ni kulinda amani, usalama wa raia na mali zao. Hali kadhalika kutokana na udhaifu au uvumilivu mdogo tulioumbwa nao sisi binadamu ni rahisi mtu kupandishwa hasira...
0 Reactions
0 Replies
597 Views
Mtandao wa wanafunzi TSNP walaani nguvu iliyotumika katika mauaji ya mwanafunzi mwenzao Aquilina aliyepigwa risasi juzi akiwa kwenye daladala wasema hapakuwa na haja ya Jeshi la Polisi kutumia...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Narudia kusema tena ewe mtanzania usidanganyike, pesa yako bora uwekeze kwenye kilimo au kama hujui jinsi ya kuitumia au pa kuwekeza bora uiweke kwenye fixed account au just savings account halafu...
9 Reactions
30 Replies
7K Views
Habari Wana Jf. Najua wengi wetu tupo juu ya majonzi mazito juu ya kuondokewa na mwanafunzi wa chuo cha NIT Miss-Aquilina Na majeruhi wengine waliopata dhoruba katika pilika pilika za kutetea...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Rushwa, matusi mtandaoni, Nimefuta mimi wenyewe,
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeuliza swali hilo kutokana na baadhi ya posts ktk baadhi ya mitandao kulalamika kuwa baadhi ya wasimamizi wa uchaguzi wanawafahamu kuwa ni makada wa CCM na wengine makada wa Chadema. Sasa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Ninachojua tu ni kwamba katika hizi siku mbili tatu za kabla ya marudio ya Uchaguzi wa jana wa Jimbo la Kinondoni kumekuwa na ' lawama ' nyingi sana zinazoelekezwa kwa Jeshi la Polisi nchini...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nadhani, Hapana haja ya kuitisha uchaguzi tena. Nimeshuhudia chaguzi nyingi sana zimekuwa na misuguano mikali na hata kupoteza uhai wa watu, Kwa machungu makubwa na kuacha baadhi ya familia na...
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Hii kitu nimeishuhudia hasa katika haya Makanisa yetu ya Kiroho ambapo pale mmoja wa Waumini ambaye ameanza tu huduma pale na hasa akiwa siyo wa muda mrefu akienda tu mbele madhabahuni '...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Sijui nina gundu na 3G ya Voda? Kila simcard ninayotumia, speed yake inanifanya nisonye kila mara. Kila simu nitakayobadilisha ujinga ni uleule, 3G ya voda ipo slow sana huku Dodoma, hata sioni...
0 Reactions
0 Replies
784 Views
KWANINI MENIUA" Mama baba acha kulia, akwilini sijafa mejilalia Waloniua wanashangilia,moyo wangu unaumia Bahati mbaya tajisemea,ukweli moyonpia ajua Usifadhahika mama tulia,baba mimi natangulia...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
News Alert: - Hallo Hallo Hallo Hallo Hallo Hallo
0 Reactions
4 Replies
889 Views
Nimemaliza Chuo kikuu lakini nimekata tamaa ya maisha Mimi ni kijana(me)wa kitazania.Ni yatima ninaishi na ndugu yangu upande wa mama, kutokana na maisha duni tunayoishi niliamini baada ya...
21 Reactions
226 Replies
30K Views
Basi katika fatilia cheti cha kuzaliwa cha mwanangu nilichokiona kilinistua sana mpaka nikaamua Fanya uchunguzi usio rasmi katika ofisi za Rita mbeya. Nikiwa nasubiliankukabidhiwa cheti...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Samahani jamani, natest mitambo ya application mpya ya jamii forum
1 Reactions
1 Replies
843 Views
Ndugu Watanzania, Kwa pamoja tunahitaji ujasiri, kwa sababu kazi iliyopo mbele yetu ni ngumu na inahitaji sadaka kubwa. Ni lazima tufahamu kwamba mara zote mafanikio makubwa huja tu baada ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya tathimini ya awali juu ya mwenendo wa uchaguzi wa marudio uliofanyika leo Februari 17, 2018, kwenye majimbo mawili Kinondoni na Siha na Kata 10, Chama kitatoa taarifa rasmi kwa vyombo vya...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida,wazazi wenye watoto wanaosoma katika Shule ya Sekondari ya Wami Dakawa,Wilayani Mvomero, wamelazimishwa kutoa mchango wa kinachodaiwa kuwa ni mishahara ya waalimu...
5 Reactions
151 Replies
9K Views
Back
Top Bottom