TANZIA: Hakimu Mkazi Juma Kasailo afariki Dunia

Kila nafsi itaonja umauti,Apumzike kwa amani hakimu Juma kasailo.
 
Tanzania ya ma Tanzia mfululizo kudadeki kwa viwanda hivi lazima tufikie uchumi wa kati.
 
Nimefanya kazi pale Ilala kipindi flani... Ulikua ukikaa na Mh. Hassan (marehemu)alikua akipiga story na Mawakili wasomi anakwambia yeye ni pesa tu.. Alikua anapenda kujisifu anakwambia mi tayari nisha jenga sana mpaka sasa nna nyumba 5 hapa Dar.. Acha za Morogoro kwaiyo hata wakinitumbua sina shida sifi njaa..
 
Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam, Juma Hassan Kasailo amefariki dunia ghafla jana jioni Februari 23, 2018.

Taarifa za kifo cha hakimu huyo zimethibitishwa na Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Ilvin Mugeta.

"Mimi niko safarini, lakini ninazo taarifa hizo kuwa Hakimu Kasailo amefariki dunia,” amesema Mugeta leo Jumamosi Februari 24 alipozungumza na MCL Digital.

Kasailo atazikwa kesho Jumapili Februari 25, saa 7:30 mchana Segera kwa Msisi, wilayani Korogwe mkoani Tanga.

Mwili wa marehemu unaagwa leo mchana nyumbani kwake, Chanika Buyuni jijini Dar es Salaam.

C&P
 
Hii kazi ya uhakimu aisee
 
kuna haja ya mahakimu wetu wapewe ulinzi maana kazi wanazo zifanya zinahatarisha usalama wao kwa kiasi kikubwa.pole sana kwa waifiwa
 
Nilikuwaa na trafic case jamaa alinipiga hela ndeeefu na Akaniambia kabisa segerea itanihusu km nisipompanga mapema
 
Mahakimu tendeni haki.

Msidhulumu watu haki zao kwasababu ya tamaa za fedha.
 
Nilikuwaa na trafic case jamaa alinipiga hela ndeeefu na Akaniambia kabisa segerea itanihusu km nisipompanga mapema
Kulikuwa na mmoja pale mahakama ya kinondoni ,, yeye alikuwa PP, ALIKUWA anaitwa Magoma, jamaa nae ni Nuksi, Sijui yupo mpaka leo pale
 
Back
Top Bottom