Huduma ya uchunguzi wa macho bure Polisi Kilwa Road Hospital

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
13 (2).jpg

Police Force TZ‏ @tanpol 7h7 hours ago
Hospitali ya Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Hospitali ya macho( International Eye Hospital ) inaendesha kliniki ya matibabu ya macho bure inayofanyika katika Hospitali ya Polisi Kilwa Road.
13 (1).jpg
 
Wapime wenyewe tu unaweza kukuta ni mtego wa kuwatafuta wananchi wanaounga mkono upinzani wakawawekea dawa za kuua macho maana sera ya utawala huu sio ya viwanda tena
Yaani wananchi tumegikia hapa hatuna tena imani jeshi la police hata na viongiz wetu mkuu kama rais dah jmn hii iwe darasa kwa watawara jmn tunapo kwenda sio pazuri kwa stlye hii siwalaumu wananchi bali serkal ijitathimni kwa hili aisee
 
Ingekuwa JWTZ sawa wananchi wangekwenda lakini siyo kwa hawa jamaa sina imani nao hata robo.
Hahahaha serkal na jeshi la police mnahaja ya kujitathimini wananchi hatuna imani na nyinyi
 
maza mwenyewe anaumwa na jicho limevimba ila nikimwambia awezi enda maana hospital ya wilaya tu huwa mpk Kwa marungu ndo utampeleka tena hatataka kutumia bima
 
Yaani wananchi tumegikia hapa hatuna tena imani jeshi la police hata na viongiz wetu mkuu kama rais dah jmn hii iwe darasa kwa watawara jmn tunapo kwenda sio pazuri kwa stlye hii siwalaumu wananchi bali serkal ijitathimni kwa hili aisee
Mkuu sisi wananchi ndiyo hatukusikia mbona tulionywa na tuliona mengi tu, ccm wenzake walisema huyu hajawahi kuwa hata balozi tu wa ccm wa Mtaa, wengine wakasema anafaa kuwa mnyampara wa barabara, mtu anagombea cheo kikubwa lakini anapiga pushups kwenye majukwaa utadhani anagombea nafasi ya kwenda Olympics, sasa hii ndiyo Olympic yenyewe
 
Wapime wenyewe tu unaweza kukuta ni mtego wa kuwatafuta wananchi wanaounga mkono upinzani wakawawekea dawa za kuua macho maana sera ya utawala huu sio ya viwanda tena
hapana na si mara yakwanza kutoa huduma kama hiyo....kuna kipindi walitoa huduma ya bure ya operation kwa wenye mabusha
 
Ingekuwa JWTZ sawa wananchi wangekwenda lakini siyo kwa hawa jamaa sina imani nao hata robo.
amini majeshi yote tu Magereza, Zimamoto,TISS na JKT lengo lao ni kukutumikia tu kwa mujibu wa sheria hakuna lingine
 
amini majeshi yote tu Magereza, Zimamoto,TISS na JKT lengo lao ni kukutumikia tu kwa mujibu wa sheria hakuna lingine
Umenifurahisha hapo '....kwa mujibu wa sheria hakuna lingine'
 
Sa nikifika kikosi kazi cha tanesco kikinikamata kisa sijalipa deni lao itakuaje?
 
amini majeshi yote tu Magereza, Zimamoto,TISS na JKT lengo lao ni kukutumikia tu kwa mujibu wa sheria hakuna lingine
Shida ni hapo kwenye kung'oana kucha na kende kuning'iniziwa tofali,yaani lazima ufe nusu
 
Back
Top Bottom